Nyumbani Football Scottish Premiership

Scottish Premiership

Rangers Wamtolea Macho Ronald Koeman

Rangers Wamtolea Macho Ronald Koeman

0
Baada ya Steven Gerrard kuwapa mkono wa kwa heri sasa Rangers wanatafuta kocha mbadala ili kuendeleza wimbo mzuri ambao Gerrard aliuanzisha na Ronald Koeman anaonekana kuwa mtu sahihi Ibrox Stadium kwa Mabingwa wa Scottish Premiership. Gerrard aliondoka rasmi Rangers siku...
Rasmi: Gerrard Alamba Dili la Kuinoa Aston Villa

Rasmi: Gerrard Alamba Dili la Kuinoa Aston Villa

0
Aston Villa wamemchagua Steven Gerrard kama kocha mkuu wa klabu yao kwa dili ya miaka mitatu na nusu. Aston Villa "Tunafurahi kutangaza kumchagua Steven Gerrard kuwa kocha mkuu wa klabu yetu. Gerrard alisema "Aston Villa ni klabu yenye utajiri mkubwa na...
McGregor

McGregor Kusalia Rangers FC.

7
Licha ya kuwa na umri wa miaka 39, golikipa wa Rangers FC - Allan McGregor amesaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki kwenye timu hiyo msimu ujao. Allan ni miongoni mwa wachezaji walioandika historia chini ya kocha Steven Gerrard kwa kutwaa...

MOST COMMENTED

Tujikumbushe Maneno ya Kroos kwa Ujerumani!

1
Kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani kilifanikiwa kukata tiketi ya kuweza kusonga mbele kwenye michuano ya Euro 2020 baada ya kuibuka na ushindi...

HOT NEWS