Klabu inayoshiriki ligi kuu ya Scotland Dundee FC imemfuta kazi kocha wake James McPake baada ya kuwa na matokeo mabovu kwenye ligi hiyo huku timu hiyo ikipambana kutokushuka daraja.

James McPake ameitumika klabu ya Dundee miaka nane, awali alisajiriwa kama mchezaji mwaka 2014 kabla ya kuwa kocha wa timu hiyo, hata hivyo michezo yake ya mwisho alionekana kama anarudisha matumaini baada jushinda dhida ya Hearts wiki ilyopita kabla ya kuifunga Peterhead na kufuzu hatua ya robo fainili  Scottish Cup.

Dundee, Dundee Yafukuza Kocha Wake, Meridianbet

Leo klabu ya Dundee imetoa habari mbaya kwa bwana James ya kumfuta kazi kwenye waraka uliochapishwa kwenye mtandao wa klabu hiyo ulisomeka, “James alijiunga na klabu ya Dundee FC  kama mchezaji mwaka 2014 na tokea hapoa amekuwa akiitumika klabu kama kapteni, kocha wa vijana hadi alipokuwa kocha mkuu.

“kwenye msimu wa 2020-21, james alituongoza vizuri nakuweza kufanikiwa kupanda hadi ligi kuu, baada ya kutumia mismu miwili kwenye ligi ya Championship, na mafanikio haya aliweza kutunukiwa tuzo ya kocha bora wa mwaka.

“Nidhahiri kuwa pasipo uongozi wa james, ingekuwa bado tupo kwenye ligi ya Championship, ndio maana maamuzi yalioyotolewa hayakuwa rahisi hivyo.

“Ingawa kwa sasa klabu haina budi kuweza kutafuta mtu wa kuendeleza kazi aliyoifanya james, tunasikitika kutangaza kuwa klabu imeachana na bwana james na tunamtakia kila la kheri huko aendako.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa