Siku za Olivier Giroud Zahesabika Ndani ya Chelsea

Olivier Giroud Hadi Sasa tunavyosoma hii habari ndani ya msimu huu wa 2020/21 amecheza Michezo 3 pekee,akitumia dakika 33 tena kwa kutokea benchi ila kiujumla kwenye mashindano yote ambayo Chelsea wapo amecheza dakika 154 Michezo 6 goli 1, hiki kitu kinampa mawazo na inasemekana huenda akaondoka BAADA ya mkataba wake kuisha mwakani mwezi wa 6.

Olivier Giroud
Olivier Giroud

Huyu mwamba Olivier Giroud alijiunga na Arsenal mwaka 2012 akitokea Tours fc ya Ufaransa ambayo alikuwa kwa mkopo akitokea Montpelier fc kwa dau linasadikiwa kuwa (Euro 12.4mil) akidumu Arsenal Hadi 2018 akaamua kwenda kutafuta marisho mapya pale kwenye Viunga vya Roman Abrahimovic, akiwa na The Blues mwamba amefanikiwa kushinda mataji kadhaa ikiwemo Europa League mwaka 2018/19 na kuwa mfungaji bora wa mashindano akifunga magoli 11.

Olivier Giroud
Olivier Giroud

Olivier Giroud na Rekodi za FA

Mimi huwa namuita Olivier Giroud Mr. FA Cup Winner, inawezekana ndio mchezaji wa kifaransa kwa miaka ya hivi karibuni aliyeshinda mataji mengi ya FA uingereza kwani amebeba Mara 4,lakini Mara 3 akiwa na Arsenal (2014,2015 na 2017) na Chelsea (2018) lakini TAYARI huyu binadamu ana taji la kombe la dunia la mwaka 2018 na Timu ya taifa ya Ufaransa,ameshiriki Mara mbili michuano ya kombe la dunia 2014 Brazil na 2018 Russia walipofanikiwa kubeba ndoo, huyu bwana mwaka 2009/10 alikuwa mfungaji bora huko Ligi Daraja la pili akifunga magoli 21 haitoshi akaja Ligi kuu Ufaransa akaweka goli 21 msimu 2011/12 nakuwa mfungaji Bora huku Montpelier wakitwaa taji la Ligi.

 


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

22 Komentara

    dah wanakosea kumuweka benchi kipaji chake kimpira kitashuka sana na kuumuia ni muhimu

    Jibu

    Sawaaaa

    Jibu

    Asepe tu ni mda mrefu kakaa chelsea

    Jibu

    Benchi siyo poa kabisa

    Jibu

    chelsea hawawezi kumuacha haende olivier bado hana msaada mkubwa clabuni hapo

    Jibu

    Giroud Hana nafasi tena kwny kikos cha chelsea natumai January anawez kusepa nakutafuta timu ya kupata nafasi ya kucheza kikos cha kwanza

    Jibu

    Mm naisi Chelsea awamtaki kwa sasa

    Jibu

    Olivier naona kama hana msaada na chelsea ni bora akae benchi tu

    Jibu

    Duuuh chelsea noma sana

    Jibu

    Girooud falsafa ya lampard kama inamshinda na umri pia tatizo

    Jibu

    Dhuuu nomaaa sana

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

    Imekaa vibaya hii

    Jibu

    Ee jamani maamuzi ni ya viongozi wake kumuacha au kumuongezea muda#meridianbett

    Jibu

    Mmh itakuwa ss

    Jibu

    Aende zake tu kwani ni muda mrefu kakaa chelsea

    Jibu

    Aende tuu kwan kaaa sana hapo

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako

    Jibu

    Yan huyo tumeshamchoka atimuke tu tunasubiri dirisha dogo la usajili tumuweje sokoni wanachelsee

    Jibu

    Giroud umr umesonga na atundike daluga

    Jibu

    Aende tu akamaizie mpira kwengine

    Jibu

    Kila lakheri

    Jibu

Acha ujumbe