Makala nyingine

Rais wa klabu ya Fc Barcelona  Joan Laporta amesema kua hana wasiwasi na mustakbali wa kiungo wao raia wa kimataifa wa Uholanzi Frenkie De Jong kwakua hana mpango wa kutimka. …

Klabu ya Real Madrid wanaelezwa kuanza mawindo kwa beki wa kulia wa klabu ya Liverpool raia wa kimataifa wa Uingereza Tren Alexender Arnold ambaye mkataba wake uko mbioni kumalizika. Real …

Klabu ya Real Madrid inapanga kumpa mkataba mpya golikipa wake namba mbili raia wa kimataifa wa Ukraine Andriy Lunin ambaye kwasasa anafanya vizuri kwasasa klabuni hapo. Golikipa wa huyo wa …

Klabu ya Real Madrid inaelezwa inamfatilia kwa karibu beki hodari mwenye umri  wa miaka 18 anayekipiga klabu ya Lile ya nchini Ufaransa akifahamika kama Leny Yoro. Real Madrid inamfukuzia kwa …

Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Barcelona Deco amesema beki wa klabu hiyo Ronald Araujo raia wa kimataifa wa Uruguay atasaini mkataba mpya akihitaji kwani upo tayari. Deco amezungumza hayo …

Golikipa wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ubelgiji Thibaut Courtois ameuaga msimu rasmi baada ya kupata majeraha ambayo yatamueka nje ya uwanja kwa miezi miwili. Golikipa Courtois …

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Alvaro Morata ametuma ujumbe kuoitia mitandao yake ya kijamii na kueleza kua majeraha ambayo aliyapata jana sio makubwa kama alivyodhani. Morata jana alitoka uwanjani …

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi kua klabu hiyo haina mpango wa kusajili mchezaji yeyote katika dirisha dogo la mwezi Januari licha ya majeraha ambayo wamekua wakiyapata. …

Klabu ya Real Madrid hawana mpango wa kusajili mchezaji yeyote katika dirisha dogo la mwezi Januari, Hili limethibitishwa na kocha wa klabu hiyo Carlo Ancelotti leo akiongea na waandishi wa …

Klabu ya Barcelona mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Hispania maarufu kama La Liga hawaeleweki chini ya kocha wao Xavi Hernandez. Hii imekuja kutokana na matokeo ya kusuasua wanayopata klabu …

Kocha wa klabu ya Atletico Madrid raia wa kimataifa wa Argentina Diego Simeone amesema anafurahia kuendelea kuitumikia klabu hiyo na kuendelea kuwepo klabuni hapo kwa muda mrefu zaidi. Simeone ameweka …

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania Antoinne Griezmann ameweka wazi kua barani ulaya anataka klabu hiyo ndio iwe klabu yake ya mwisho kucheza. Griezmann ameeleza kua anataka …

1 2 3 4 90 91 92