Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema amepeleka tuzo yake ya Ballon Dor katika klabu ya Olympique Lyon sehemu ambayo imemkuza na kumlea kisoka.

Mshambuliaji huyo ambaye alikua na msimu mzuri mwaka 2021/22 akifanikiwa kua mfungajii bora wa ligi kuu Hispania pia mfungaji bora wa ligi ya mabingwa ulaya huku akifanikiwa kuisaidia klabu yake mataji kwenye kila michuano aliyoibuka mfungaji bora.benzemaKarim Benzema ameirudisha tuzo hiyo kwenye dimba la klabu ya Lyon siku ya jana kwani klabu hiyo ndio imemlea na kumkuza kisoka, Mpaka klabu ya Real Madrid inakuja kumnunua alitokea klabuni hapo mwaka 2009.

Pamoja na yote nyota huyo amezaliwa katika jiji la Lyon hivo tuzo hiyo imekua kama heshima kwa wakazi wa jiji la Lyon na wanajivunia staa huyo na Benzema akaamua kurudisha thamani nyumbani kwao.benzemaKarim amekua akiandamwa na majeraha sana tangu msimu huu uanze na mpaka sasa anasumbuliwa na majeraha, Hii inaelezwa na wataalamu ni kwasaabbu ya uchovu kwakua alitumika sana msimu uliomalizika bila kupumzika.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa