Cadiz CF Kukiwasha Dhidi ya Granada Hii Leo

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja baada ya mapumziko ya Kimataifa ambapo, Cadiz atakuwa mwenyeji wa Granada majira ya saa 5:00 usiku.

Cadiz CF Kukiwasha Dhidi ya Granada Hii Leo

Cadiz yupo nafasi ya 18 baada ya kucheza mechi zake 19 kwenye ligi hadi sasa akishinda mechi tatu, sare 13, na kupoteza mechi zake 13, na kukusanya pointi 22 hadi sasa.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Huku kwa upande wa Granada yeye yupo nafasi ya 19 yaani wamefatana kwenye msimamo wa ligi, ameshinda mechi zake mbili, sare nane na kupoteza mara 18 hadi sasa huku akikusanya pointi zake 14.

Tofauti ya pointi kati yao ni nane pekee huku mara ya mwisho kukutana, mgeni alishinda mechi hiyo. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani na kuondoka na pointi zote tatu huku timu zote zikihitaji ushindi kutoka chini.

Cadiz CF Kukiwasha Dhidi ya Granada Hii Leo

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Cadiz kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet amepewa ODDS 2.06 kwa 3.72. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?

 

Acha ujumbe