Mchezaji wa Real Madrid Éder Militão hataichezea Brazil mwezi huu kama Vinicious baada yakupata jeraha ambapo taarifa hiyo imetoka hii leo.

Baada ya kufanyiwa vipimo vipya, mchezaji huyo amegundulika na jeraha dogo la misuli hivyo basi Militao hatacheza michezo ya Brazil ijayo ya kufuzu WC, huku nafasi yake ikichukuliwa na Fabricio Bruno.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Militao aliingia dakika ya 71 kwenye mchezo wa Jumamosi ambao walikuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Villarreal na wakafanikiwa kushinda kwa bao 2-0 magoli yakifungwa na Vini pamoja na Valverde.



