Je wajua kuwa klabu ya Barcelona ilishawai kukubaliama na wachezaji Luiz diaz na Vlahovic kabla ya wachezaji hao kuamua kutimkia kwenye vilabu vingine?

kulingana na Gerrard Romero, klabu ya Barcelona ilshafanya mkubaliano yote na wachezaji hao, na walikuwa karibu kabisa kuwasaini Diaz ambaye kwa sasa yuko Liverpool na Vlahovic ambaye amesajiriwa na Juventus.

Barcelona, Je Wakumbuka Barcelona na Uhamisho wa Diaz na Vlahovic?, Meridianbet

Vlahovic baada ya mazumgumzo ya kina na klabu ya Barca walishakubaliana makubaliano binafsi na ilibaki tu Barca kuweza kumalizana na Fiorentina, huku Diaz  kupitia kwa mwakilishi wake walikuwa tayari wamemalizana kila kitu lilibaki swala la kulipa ada ya uhamisho tu.

Kutokana na kanuni za “Financial Fair Play” klabu ya Barcelona ilizuiwa kufanya usajiri wa wachezaji, wote ambao walikuwa wanahitaji kiasi kikubwa cha ada ya uhamisho na mishahara mikubwa kwa sababu ya mafanikio waliyoyapa kwenye klabu zao.

Baada ya kushindikana, Diaz akasajiriwa ma Liverpool, huku Vlahovic akisajiriwa na klabu ya Juventus.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa