Madrid Ugenini Leo Dhidi ya Celta Vigo

LALIGA kutimua vumbi leo hii majira ya saa 4:30 kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kuvutia utakuwa ni kati ya Real Madrid dhidi ya Celta Vigo.

 

Madrid Ugenini Leo Dhidi ya Celta Vigo

Madrid ambayo ipo chini ya kocha mkuu Carlo Ancelotti wameanza vyema ligi wakishinda mechi zao mbili za kwanza na kujikusanyia pointi sita huku wakiwa ndio wanaoongoza ligi mpaka sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa

Real ilikosa ubingwa msimu uliopita mbele ya wapinzani wao Barcelona na pia wakatolewa kwenye ligi ya mabingwa kwa kufungwa mabao mengi na City.

Madrid Ugenini Leo Dhidi ya Celta Vigo

Celta Vigo mpaka sasa wana pointi 1 pekee baada ya kutoa sare mechi iliyopita na mmechi ya kwanza kupoteza akiwa nyumbani dhidi ya Osasuna.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Wababe wa Uhispania, wamefanya usajili wa wachezaji huku hadi sasa Jude Bellingham akiendelea kuuwasha moto vilivyo kwa kupachika mabao na kutoa assist.

 

Acha ujumbe