Makala nyingine

Klabu ya Barcelona inaendelea ilipoishia kwani leo tena imefanikiwa kushinda mchezo wake wa nne mfululizo kwenye ligi kuu ya Hispania msimu huu baada ya kuichabanga Girona mabao manne kwa moja. …

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Morocco Brahim Diaz inaelezwa anaweza kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili baada ya kupata majeraha ya misuli …

Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amezungumza juu ya muenendo wa kocha mpya ndani ya klabu hiyo Hans Flick raia wa kimataifa wa Ujerumani ambaye anaonekana kuanza vizuri. Laporta …

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti ameweka wazi hawana mpango wa kusajili mchezaji yeyote kwenye kikosi hicho kuelekea siku za mwisho za dirisha kufungwa. Ilifikiriwa kua klabu ya …

Bellingham Nje Mwezi

Kiungo wa klabu ya Real Madrid Jude Bellingham anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa takrribani mwezi mzima kutokana na majeraha ya msuli aliyoyapata. Bellingham amepata majeraha hayo kwenye mazoezi ya …

Camavinga Nje Wiki Saba

Kiungo wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Eduardo Camavinga anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki zisizopungua saba baada ya kuumia siku ya jana katika mazoezi …

Klabu ya Barcelona inaelezwa ipo tayari kumuuza kiungo wake raia wa kimataifa wa Uholanzi Frenkie De Jong katika dirisha hili kubwa la majira ya kiangazi. Barcelona wako tayari kumuachia De …

Klabu ya Girona imeendelea kuvunjwa kuelekea msimu ujao ambapo beki wake wa kulia raia wa kimataifa wa Brazil Yan Couto amejiunga na klabu ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani. Baada …

Klabu ya Barcelona imetuma ofa ya pili kwa klabu ya Rb Leipzig kwajili ya kupata saini ya kiungo wa kimataifa wa Hispania klabuni hapo Dani Olmo ambapo ofa ya kwanza …

Klabu ya Barcelona sasa imehamia kwa kiungo wa kimataifa wa Hispania ambaye anakipiga klabu ya Rb Leipzig kutoka nchini Ujerumani anayejulikana kama Dani Olmo. Barcelona kwasasa wamefikia katika hatua nzuri …

Klabu ya Ajax ya nchini Uholanzi ipo kwenye mazungumzo na mchezaji wa klabu ya Barcelona Sergio Roberto raia wa kimataifa wa Hispania wakimshawishi kujiunga nao. Sergio Roberto inaelezwa atatimka ndani …

Beki wa kushoto wa  klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Ferlan Mendy inaelezwa bado yupo yupo sana ndani ya viunga vya Santiago Bernabeu. Beki Ferlan Mendy anatarajiwa …

Ansu Fati Aumia Tena

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Ansu Fati inaelezwa amepata majeraha mengine akiwa kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya huko nchini Marekani. Ansu Fati ambaye aliitumikia klabu ya Brighton Hove …

Kiungo wa klabu ya Real Madrid Luca Modric ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo mpaka mwaka 2025 baada ya kuongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia klabuni hapo.  Modric alimaliza …

Mbappe kama Ronaldo tu

Nyota wa zamani wa klabu ya PSG Kylian Mbappe amefanikiwa kutambulishwa ndani ya klabu ya Real Madrid baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimae leo jambo hilo limetimia. Kylian Mbappe …

Klabu ya Barcelona macho yao yote yapo kwa winga wa Athletic Club raia wa kimataifa wa Hispania Nico Williams kuelekea msimu ujao wa mwaka 2024/25. Barcelona inaelezwa usajili ambao wanautolea …

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe ambaye kwasasa ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid Kylian Mbappe kutambulishwa Jumanne ya tarehe 16 mwezi pale Santiago Bernabeu. Mbappe …

Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania Alvaro Moratta ameweka wazi ataendelea kusalia ndani ya viunga vya Wanda Metropolitano. Mshambuliaji Moratta alikua anahusishwa na moja …

Nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Hispania na mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Alvaro Moratta ameweka wazi juu ya mustakabali wake na kusema bado hajajua kama atabaki …

1 2 3 4 5 93 94 95
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.