Klabu ya Real Madrid mabingwa wa ulaya imeingia vitani na klabu ya Manchester United katika kumuwania beki kijana mwenye kipaji kikubwa raia wa kimataifa wa Ufaransa Leny Yoro. Leny Yoro …
Makala nyingine
Beki wa klabu ya Manchester City anayekipiga ndani ya klabu ya Barcelona kwa mkopo Joao Cancelo ameweka wazi anapendelea kubaki ndani ya klabu ya Barcelona kwa muda mrefu zaidi. Cancelo …
Kinda wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Lamine Yamal amezungumza juu ya mchezaji ambaye anatamani kucheza nae akimtaja winga wa klabu ya Atletic Bilbao Nico Williams. …
Beki wa kulia wa klabu ya Bayern Leverkusen mabingwa wa ligi kuu ya Ujerumani Jeremie Frimpong amesema hajui kuhusu taarifa ambazo zinamuhusisha na kujiunga na miamba ya soka kutoka nchini …
Klabu ya Real Madrid imeweka wazi kua haina mpango wa kumtoa kwa mkopo kinda wake raia wa kimataifa wa Uturuki mwenye kipaji kikubwa Arda Guler licha ya maombi ya vilabu …
Aliyekua kiungo wa klabu ya Real Madrid Toni Kroos anatarajiwa kufanya kazi na timu ya vijana ya klabu hiyo (Akademi) punde tu baada ya kutangaza kustaafu soka mwishoni mwa mwezi …
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Rodrygo Goes ameweka wazi kua hana mpango wa kutimka ndani ya klabu hiyo licha ya kuhusishwa kuondoka ndani ya timu hiyo. Baada ya kushinda …
Staa wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe ni rasmi sasa ataichezea klabu ya Real Madrid msimu ujao baada ya kuthibitika staa huyo atakua mchezaji wa mabingwa hao wa ulaya. Mbappe …
Kiungo mkubwa ndani ya kikosi cha Real Madrid Luca Modric raia wa kimataifa wa Croatia inaelezwa amefikia makubaliano ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa msimu mwingine wa 2024/25. Mwanzoni ilielezwa …
Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti ameweka wazi klabu ya Real Madrid haitasajili kupata mbadala wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani Toni Kroos ambaye anastaafu mwishoni mwa msimu …
Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez kwenye hali ya kushangaza amewashtua mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangazwa kua ataendelea kusalia ndani ya viunga vya klabu hiyo vya Camp …
Kwa mujibu wa gazeti la Mundo Deportivo, Xavi alibadili uamuzi wake na atasalia Barcelona msimu ujao, hivyo basi kuwaletea madhara Milan na Roberto De Zerbi. Kocha huyo alikuwa ametangaza mapema …
Kiungo kinda wa kimataifa wa Uturuki anayekipiga ndani ya klabu ya Real Madrid Arda Guler ameripotiwa kua hana mpango wowote wa kuondoka ndani ya miamba hiyo ya soka nchini Hispania. …
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amefunguka juu ya kurejea kwa beki wake wa katikati Eder Militao raia wa kimataifa wa Brazil ambaye alikua anaandamwa na majeraha kwa muda mrefu. …
Winga wa klabu ya Atletico Madrid anayekipiga kwa mkopo ndani ya klabu ya Fc Barcelona Joao Felix inaelezwa mipango yake ni kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa uhamisho wa kudumu. Rais …
Mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid Joao Felix anayekipiga kwa mkopo klabu ya Barcelona ameonesha kutamani mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Ureno Bernardo Silva kujiunga na Barcelona. Akifanya mazungumzo na …
Klabu ya Fc Barcelona inaelezwa inakaribia kuipindua klabu ya Liverpool katika kumuwania kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim ambaye anawaniwa na klabu ya Liverpool. Barcelona mwishoni …
Ligi kuu ya Hispania, LALIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja baada ya mapumziko ya Kimataifa ambapo, Cadiz atakuwa mwenyeji wa Granada majira ya saa 5:00 usiku. Cadiz yupo …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani Toni Kroos inaelezwa yuko kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka …
Klabu ya Villarreal imefanikiwa kumpa mkataba mpya kiungo wake mkongwe Dani Parejo ambaye ataendelea kuwepo kwenye viunga vya Estadio de la ceramica mwaka 2026. Kiungo huyo ambaye ana miaka minne …

