Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania Antoinne Griezmann ameweka wazi kua barani ulaya anataka klabu hiyo ndio iwe klabu yake ya mwisho kucheza. Griezmann ameeleza kua anataka …
Makala nyingine
Kocha mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti bado ana imani kuwa Jude Bellingham anaimarika kila siku kutokana na tatizo lake la bega lakini anahisi upasuaji hauwezi kuamuliwa iwapo suala hilo …
Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti ameweka wazi viungo wake wawili Aurelien Tchouameni na Arda Guler wako mbioni kurejea ndani ya klabu hiyo. Kocha Ancelotti amezungumza na wanahabari …
Kiungo wa kati wa Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza Jude Bellingham ametawazwa rasmi kuwa mshindi wa tuzo ya Golden Boy kwa 2023. Tuzo hiyo ya kila …
Leo pale nchini Hispania moto utawaka sana kwenye ligi kuu nchini humo klabu ya Barcelona watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Atletico de Madrid. Barcelona mabingwa watetezi wa ligi hiyo ambao …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania Brahim Diaz anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bega kutoka na majeraha aliyoyapata siku kadhaa zilizopita. Kiungo huyo anaongeza orodha …
Klabu ya Barcelona wako kwenye mchakato wa kumuongezea mkataba beki wake raia wa kimataifa wa Uruguay Ronald Araujo akiwa amepewa kipaumbele kikubwa zaidi. Beki Ronald Araujo amekua moja ya wachezaji …
Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amegoma kuzungumzia mustakabali wake juu ya kuendelea kusalia ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu ujao. Mkataba wa kocha Carlo Ancelotti unamalizika mwishoni …
Kiungo na nahodha wa klabu ya Atletico Madrid Koke yuko njia panda ndani ya klabu hiyo kuelekea mwishoni mwa msimu huu ambao ndio utakua ukomo wa mkataba wake. Kiungo huyo …
Klabu ya Barcelona imeweka wazi haitaingia sokoni katika diriaha dogo la mwezi Januari kwajili ya kuzipa pengo la kiungo wake Gavi ambaye amepata majeraha ya muda mrefu. Rais wa klabu …
Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann inaelezwa hana mpango wa kutimka ndani ya klabu hiyo baada ya kuhusishwa na kujiunga na Man …
Winga wa klabu ya Real Madrid Vinicius Jr anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili na nusu baada ya kupata majeraha akiitumikia timu yake ya taifa ya …
Winga wa klabu ya Real Madrid Vinicius Jr ameripotiwa kutimka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Brazil baada ya kuripotiwa kupata majeraha ya misuli ya paja mapema leo. Vinicius …
Klabu ya Real Madrid ipo mawindoni kwajili kumuwinda beki wa kushoto wa klabu ya Fc Bayern Munich Alphonso Davies raia wa kimataifa wa Canada kwajili ya kwenda kukipiga klabuni hapo. …
Klabu ya Villarreal imepata pigo kubwa baada ya winga wake raia wa kimataifa wa Hisapnia Yeremy Pino kupata majeraha makubwa yatakayomuweka nje ya uwanja kwa msimu mzima. Yeremy Pino atakua …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Eduardo Camavinga ameondolewa kwenye kambi ya timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kuelezwa kupata majeraha ya …
Klabu ya Real Madrid inamuangalia kwa karibu beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza Reece James kama mrithi sahihi wa beki wa kulia wa klabu hiyo …
Klabu ya soka ya Barcelona imeeleza kua ina mpango wa kuwabakiza wachezaji wawili raia wa kimataifa wa Ureno Joao Felix na Joao Cancelo ambao wapo klabuni hapo kwa mkopo. Kupitia …
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Rodrygo Goes amesema hawezi kwenda kucheza ligi kuu ya Saudia maarufu kama Saudi Pro League. Rodrygo amesema hajapokea …
Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti ameeleza kua kinda wa klabu hiyo Arda Guler atapewa muda wa kucheza tu na haina haja ya kuharakisha kumpa nafasi ya kucheza …

