Makala nyingine

Safari ya Antoine Griezmann kutua Barcelona inaweza kukutana na kikwazo. Uongozi wa La Liga, kupitia raisi wake Javier Tebas umezungumzia suala la uhamisho wa staa huyu kuingia Barcelona. Atletico Madrid …

Huwa ni ndoto ya kila mchezaji kujikuta anacheza soka lake katika klabu zenye majina makubwa kama Real Madrid, Barcelona, Man City, United; pale inapotokea wanapata ofa za kujiunga nazo ni …

Barcelona wameripotiwa kukamilisha dili la kumsainisha kinda wa timu ya taifa ya Uingereza Louie Barry. Staa huyu mtoto aliyekuwa West Brom alikuwa akihusishwa na kwenda Ligue 1 kwa klabu ya …

Wapotevu wa Madrid

Soka ni mchezo wa ajabu sana ambao siku zote huibua mambo ya aina mbalimbali. Kuna wakati mchezaji huhama kutoka klabu moja kwenda nyingine kwa lengo la kubadili angalau mazingira lakini …

Matajiri wanaomiliki klabu ya Real Madrid wapo mbioni kuangalia namna watakavyoweza kufanya biashara na kunasa wachezaji ndani ya kikosi cha Manchester United hususan mchezaji ambaye wamekuwa wakimfukuzia kwa kipindi kirefu …

Real Madrid wametangaza kumsainisha Takefusa Kubo ambaye alikuwa katika Akademi ya Barcelona na amekuwa akiitwa Messi wa Japan. Staa huyu anayesa kutoka Tokyo ametajwa kuwa na thamani ya paundi milioni …

Griezman Njiapanda

Nyota na mchezaji wa Atletico Madrid ambaye ameweza kusalia kikosini hapo kwa kipindi kirefu sana hadi sasa na kuisaidia timu yake hiyo kufikia hatua ya pekee sana kwenye mataji na …

Eden Hazard amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kwenda Real Madrid, akiongeza orodha ya wchezaji wakali walioandika historia kutoka Premier League kwenda La Liga. Hazard anajiunga na mabingwa mara 13 wa …

Madrid ni Vitendo Tu!

Klabu ya Madrid tayari imeanza kukamilisha hesabu yao sokoni kwa kufanya usajili mapema kabla ya kuanza majaribio ya kikosi chao katika msimu huu wa likizo ndani ya ligi (kabla ya …

Rada za Barcelona

Msimu wa 2018/19 unaelekea kileleni kwa ligi nyingi huku nyingine zikiwa tayari zimekwishamalizana kabisa na masuala yanayohusu ligi lakini Barca tayari wamekwishaanza kujishughulisha na zoezi zima la kuangalia wachezaji watakaoweza …

Kama ilivyo kawaida unapomalizika msimu wa ligi lazima kuna nyota ambao huweza kuonekana kuwa wamefanya vizuri zaidi kwenye mchezo fulani ndani ya msimu huo. Hii huweza kuhusisha ligi zote kubwa …

Kulikuwa na taarifa zilizozagaa katika mitandao kwamba kuna kila dalili ya nahodha wa muda wote wa kikosi cha Madrid, Sergio Ramos kutimkia China baada ya kupishana kidogo na uongozi na …

Valencia wamemaliza msimu vizuri baada ya kunyanyua ndoo ya Copa del Rey mbele ya Barcelona ambao walionekana wamepoteana sana kwenye mchezo huo muhimu sana wa fainali. Walikuwa ni Valencia waliowaonesha …

Huyu ndiye Lionel Messi nyota wa Barcelona ambaye ameandika rekodi kadhaa kubwa! Sasa, kwa mara nyingine ameandika rekodi ya kuchukua kiatu cha dhahabu kwa mara ya sita toka alipoanza kucheza …

Fununu za Soka Ulaya

Manolas arudi sokoni, nyota anayekipiga na AS Roma, Kostas Manolas anahusishwa na safari ya kujiunga na klabu ya Arsenal kutokana na klabu hiyo kukubali aina yake ya uchezaji na uwezo …

Mahusiano kati ya mwalimu wa klabu ya Real Madrid aliyepata mkataba mnono wa kuwafunza kwa awamu ya pili baada ya wengine kuonekana wanashindwa kabisa kuendana na falsafa za klabu hiyo …

Wakati mchakato wa kuweka kuwachomoa wachezaji na kuleta wengine ukiwa bado haujachanganya vyema, Kiungo wa Real Madrid, Toni Kroos amesaini mkataba wa mpya wa miaka 4 kuendelea kusalia Real Madrid. …

Klabu ya Real Madrid wamemaliza vinaya msimu huu baada ya kupokea kichapo cha 0-2 dhidi ya Real Betis kwenye gemu yao ya mwisho ndani ya Santiago Bernabeu. Meneja Zinedine Zidane …

Fununu za Usajili

Wakati mapazia ya ligi nyingi yakielekea kufunikwa tayari klabu nyingi zimeanza kujiandaa kufanya usajili ndani ya vikosi vyao jambo ambalo huwa na umakini wa aina yake na lazima klabu zenye …

1 2 3 89 90 91 92 93 94 95
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.