Wakala wa nyota huyo anayekipiga klabu ya Madrid anasema mipango ya klabu hiyo inaenda kama wanavyohitaji kuifanya wao iende na wamegoma kabisa kumuuza nyota huyo na kwamba bado wanahitaji huduma …
Makala nyingine
Meneja wa Real Madrid, Zidane ameanza harakati zake za kuangalia wachezaji atakaokuwanao kwenye kampeni zake za msimu ujao. Ndani ya msimu huu wamepitia kipindi kigumu sana katika historia yao ya …
Nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona, Xavi ameweka wazi kwamba kwa sasa anataka kuachana kabisa na kucheza soka na baadaye kufukuzia nafasi mpya akiwa kama mwalimu wa soka baada …
Thibaut Courtois amekuwa na wakati mgumu kwa kipindi kifupi ndani ya Madrid kutokana na aina ya matokeo ambayo anayapata na klabu hiyo akisimama kwenye milingoti miwili kusaidia matokeo kwenye klabu …
Klabu ya soka inayokipiga katika ligi ya Hispania inategemewa kutua nchini Tanzania kama sehenu yao ya maandalizi ya mapema ya msimu mpya wa ligi. Baada ya ligi kukamilika mizunguko yake …
Hazard ameripotiwa kuwa amepata dili la pesa ndefu klabuni Real Madrid ili waweze kumnasa vyema staa huyu. Klabu hii ipo radhi kumnunulia nyumba ya kifahari staa huyu ili waweze kufanikiwa …
Liverpool watakuwa wanajiandaa kumkosa mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Luka Jovic msimu huu wa joto wakati Real Madrid wakionekana wanaweza kuinasa sahihi yake. Nyota huyu wa miaka 21 amekuwa akivutia vilabu …
Imekuwa tofauti na maisha yalivyokuwa awali kwa nyota huyo na raia wa taifa la Ufaransa kutoka kwenye kile kilichokuwa kinampa nafasi kubwa ya kuanza kikosini hapo hadi kufikia hatua ya …
Nyota wa Real Madrid Luka Modric amefikisha idadi ya gemu 300 klabuni hapo. Modric ameshinda mataji 4 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa klabuni hapo, pia ameshinda mataji 3 ya …
Chelsea wanaripotiwa kuwa mawindoni kumtafuta mrithi wa Eden Hazard klabuni hapo baada ya hatma ya staa huyo kutofahamika mpaka sasa. Hazard anatarajiwa kusepa Stamford Bridge na staa wa Barcelona anatarajiwa …
Bosi wa klabu ya Barcelona Ernesto Valverde amesalimu amri kwa meneja wa vinara wa Ligi Kuu Uingereza Manchester City bwana Pep Guardiola akimtaja kama meneja bora zaidi duniani. Mabingwa watetezi …
Taarifa kutoka vyanzo kadhaa vya habari za kimichezo vilimtaja nyota wa Real Madrid Toni Kroos kuwa na mpango wa kusepa klabuni hapo. Nyota huyu anasema taarifa kuwa anapanga kusepa Real …
Nyota wa Atletico, Diego Costa amelimwa adhabu ya kukosa gemu 8 baada ya kupata kadi kwenye gemu dhidi ya Barcelona wikiendi iliyopita. Costa alitolewa nje ya gemu kipindi cha kwanza …
Bosi wa Realo Madid Zinedine Zidane amekuwa akihusishwa sana na nyota wa Real Madrid Eden Hazard. Staa huyu alishawahi kuweka wazi kuwa Real Madrid ni klabu ya ndoto zake toka …
Meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone amekanusha maneno kuwa wanamgwaya Lionel Messi wakiwa kwenye maandalizi ya kukutana uso kwa uso na mahasimu wao Jumamosi hii. “Hatumuogopi Messi… Valverde anafanya kazi …
Lionel Messi ameendelea kuwa na rekodi bomba ya soka baada ya kufikisha idadi kubwa zai9di ya magoli katika ligi kubwa 5 za ulaya. Messi ameingia kwenye rekodi na kuwa mbele …
Inaweza isizungumziwe moja kwa moja lakini kauli na matendo ya viongozi wa juu zikaonesha nia dhahiri na kwa namna wanavyohitaji uwepo wa mchezaji huyo katika kila mechi waliyonayo mbeleni pamoja …
Kwa mujibu wa Alvaro Odriozola, mchezaji mwenzie Karim Benzema ndiye namba 9 bora duniani. Karim alicheka na nyavu dakika ya 89 pale Santiago Bernabeu wakiwachapa 3-2 Huesca kwenye gemu ya …
Hatma ya Gareth Bale pale Real Madrid inaonekana kuwa kama giza lisiloeleweka mwisho wake. Gareth Bale amekuewa katika kipindi kigumu akishindwa kuwa katika fomu nzuri kama wanavyomtarajia. Zidane ataamua hatama …
Mabingwa wa La Liga, Barcelona wanaripotiwa kuwa wapo kwenye mishe mishe za kutaka kuwasajili mastaa wa Manchester United kutoka Ligi Kuu ya Uingereza. Ripoti zinadai kuwa Barca wameshaanza kufanya mawasiliano …

