Beki gwiji wa klabu ya Fc Barcelona na timu ya Taifa Hispania Gerard Pique leo atacheza mchezo wake wa mwisho klabuni hapo dhidi ya klabu ya Almeria,Beki huyo ambaye ametangaza kustaafu kuichezea timu hiyo siku kadhaa nyuma ataagwa leo dimbani Camp Nou.

Beki Pique ameitumikia klabu hiyo kwa mafanikio makubwa huku akiwa ameshinda kila taji ndani ya klabu hiyo ambalo amewahi kushindania. Beki huyo anazungumzwa kama beki bora kuwahi kucheza ndani ya klabu hiyo.

Beki huyo ambaye amewahi kuitumikia pia klabu ya Manchester United kwenye miaka ya 2007 mpaka 2008 na kufanikiwa kushinda taji la ligi kuu Uingereza pia lile la ligi ya mabingwa ulaya.piqueBeki huyo amepongezwa na wachezaji mbalimbali na kuonesha kua alikua ni miongoni mwa wachezaji bora sana kuwahi kutokea kwenye kizazi chake. Beki huyo atakumbukwa kama mchezaji ambaye amechza kwenye ubora mkubwa kwa kipindi kirefu.

Beki huyo ambaye alishazungumza mwanzo kama ikitokea ataondoka klabuni hapo basi hatavaa jezi ya timu nyingine, Hivo ni wazi kua mchezaji huyo ataondoka klabuni na hataitumikia klabu nyingine.

Beki Gerard Pique ambaye pia amefanikiwa na timu ya taifa ya Hispania kwa kubeba mataji kadhaa kama taji la mataifa ya ulaya, pamoja na kombe la dunia hivo beki huyo historia ya nchi hiyo itamkumbuka beki hiyo.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa