Barcelona Raisi Achafua Hali ya Hewa
Raisi wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amevurugana na wachezaji wake akiwemo kapteni wa klabu hiyo kwa kutamka hadharani kuwa wachezaji wa klabu hiyo wanapaswa kupunguza mishahara yao ili kuweza kuinusuru klabu hiyo.
Mapema wiki hii, Sergio Busquets alimjibu raisi...
Marcelo Mchezaji Aliyebeba Makombe Mengi Real Madrid
Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Brazili anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid Marcelo amefanikiwa kuingi kwenye kumbukumbu za klabu hiyo ya kuwa mchezaji aliyefanikiwa kubebe mataji mengi kuliko mchezaji yeyote ndani ya klabu hiyo.
Marcelo mwenye umri wa miaka 33...
Luis Rubiales Ajitetea Kuhusu Kuvuja kwa Audio zake na Pique
Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Hispania Luis Rubiales amejitete kuhusu kuvuja kwa jumbe za sauti za maongezi kati yake na mlinzi wa klabu ya Barcelona Pique kuhusu uhamishaji wa mahindano ya Supercopa kutoka nchini humo kwenda...