Newcastle United wamesemekana kuwa wanafuatilia mitanange ya mchezaji mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Sunderland, Fabio Borini ambaye ana umri wa miaka 27 akikipiga kama fowadi klabuni kwake.

Tetesi zaidi zinadai kwamba yawezekana klabu hiyo ikataja dau la kumnunua mara ifikapo mnamo mwezi Januari endapo msakata kabumbu huyo anataka kuhama kwenye klabu ya AC Milan kwa mujibu wa Tuttomercato kupitia Sunderland Echo.

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa