Klabu ya Atalanta imenga kuingia vitani kupambana na klabu ya Inter miami na River Plate kutaka kuwania huduma ya mshambuliaji anayemaliza muda wake kwa sasa kwenye klabu ya Atletico Madrid Luis Suarez.

Luis Suarez anajiandaa kuondoka kwenye jiji la Madrid baada ya mkataba wake kuisha mwezi ujao, huku yeye mwenyewe akithibitisha kuwa hata saini mkataba mpya na miamba hiyo ya Los Rojiblancos.

Atalanta

Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona tokea athibitishe kuwa hatasaini mkataba mpya na  Los Rojiblancos, amekuwa akihusishwa na vilabu mbalimbali, ambapo inasemekana kuwa klabu atayojiunga nayo ndiyo itakuwa ya mwisho na kutundika daruga kwenye soka la kulipwa.

Ijapokuwa klabu ya River Plate ndio klabu ya kwanza kueleza wazi kuwa wanahitaji huduma ya mshambuliaji huyo mwenye miaka 35, ikifuatiwa na klabu ya Inter Miami na sasa Atalanta nao wemeingia kwenye vita ya kuwania huduma ya mshambuliaji huyo.

Ingawa kuna taarifa zimeripotiwa na mtandao wa Marca, Luis Suarez ameweka wazi kuwa anataka kubakia Ulaya na Atalamta mdio klabu pekee mpaka sasa iliyoonesha nia ya kutaka kumsajiri lakini itabidi apunguze mshahara wake ili kufanikisha uhamisho huo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa