Klabu ya Barcelona imeonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi huyo wa klabu ya Chelsea na wanajitahidi waweze kumsajirisha mkataba wa awali kabla majira kiangazi kufika.
Cesar Azpilicueta amebakisha miezi minne tu ili kuweza kuachana na klabu ya Chelsea lakini pia bado klabu hiyo yenye maskani yake jijini London wanajaribu kumshawwishi aweze kuongeza mkataba wa kusalia kwenye klabu hiyo na mazungumzo ya mkataba hayako vizuri kama ilivyopangwa hapo awali.
Taarifa za hivi karibuni zinadai kuwa uhamisho wa Cesar Azpilicueta kwenda klabu ya Barcelona ni swala la muda tu pia mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na Barcelona Cesc Fabregas naye aligusia hilo kuwa Azpilicueta anajianda kujiunga na klabu ya hiyo.
Klabu ya Barcelona kwa sasa inamatatizo ya walinzi wa upande wa kulia, sababu Dani Alves mwisho wa msimu mkatba wake wa unamalizaka na klabu hana tena mpamgo wa kumuongezea huku Sergino Dest haileweki kama atasalia klabu kwa muda mrefu.
Azpilicueta amefanikiwa kushinda kila kitu akiwa na klabu ya Chelsea.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.