Klabu ya Tottenham Hotspur wanakaraibia kumsajiri mshambuliaji nyota wa klabu ya Everton Richarlison na wako tayari kutoa kiasi cha £50million huku kukiwa na taarifa kuwa tayari wameshafanya mazungumzo kuhusu uhamisho huo na mchezaji husika.

Hivi karibuni klabu ya Manchester United ilikuwa inamfuatilia mshambuliaji huyo ili kuweza kuongeza nguvu kwenye nafasi ya ushambuliaji, na pia walishawasiliana na klabu ya Everton kuhusu kupata taarifa za gharama za ada ya usajiri ya mshambuliaji huyo.

Tottenham, Tottenham Kuwapiga Bao Manchester United?, Meridianbet

Mazungumzo kati ya Everton na klabu ya Tottenham yanaendelea muda huu huku klabu hiyo ya kaskazini mwa London ishaweka wazi kuwa iko tayari kulipa £50million kwa ajiri ya kupata huduma ya Richarlison.

Mpaka sasa Antonio Conte ameeshafanya usajiri wa wachezaji wawili ambao ni Fraser Forster na Ivan Perisic, ikiwa atafanikisha usajiri wa Richarlison utakuwa usajiri wake wa tatu tangu dirisha la usajiri lifunguliwe.

Richarlison ameichezea klabu ya Everton michezo 152 kwenye mashindano yote, tokea asajiriwe na kufunga magoli 53, huku pia akiwa amefanikiwa kuifungia timu yake ya taifa Brazili magoli 14 kwenye michezo 36.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa