Xavi Yuko Tayari Kumuuza Frenkie de Jong Kwenda Man Utd

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez yuko tayari kuumuza mlinzi wake Frenkie de Jong kwenda klabu ya Manchester United ili kuweza kutoa nafasi ya yeye kuweza kusajiri wachezaji wapya anaowahitaji.

Xavi anamhitaji kiungo wa klabu ya Manchester City Bernardo, na kwa hali ya uchumi wa klabu ya Barcelona hawawezi kumsajiri mchezaji yoyote pasipo kuuza wachezaji waliokuwepo.

Klabu ya Manchester United imekuwa ikimfuatilia Frenkie de Jong kwa muda klaba ya kujiuinga na Barcelona, sasa United imekaza kamba ya kuhitaji kumngoa kwa kiasi cha  £75million kutoka Camp Nuo, huku Xavi nae akihitaji kiasi hicho ili kuweza kupata huduma  Bernardo kutoka Man City.

Ijapokuwa Bernardo bado ana mkataba na klabu ya Man City unaotarajia kuisha 2025, lakini xavi anaamini anaweza kumshawishi kujiunga na klabu ya Barcelona kwenye dirisha hili ambalo limefunguliwa Ijumaa.

Jngawa, klabu ya Barcelona ina matatizo ya kifedha na kupata kiasi cha £235milioni kutoka Spotify, kwa kununua haki ya jina la uwanja lakini bado hali tete ndani ya klabu hiyo, huku ikifanya kila liwezekano ili kupata nafasi ya kununua majina makubwa ili kuboresha kikosi chake.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe