Usiempenda ndio kauli ambayo unaweza kusema baada ya droo ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya kuchezeshwa na moja ya mechi za robo fainali itakutanisha vilabu vya Arsenal dhidi ya …
Makala nyingine
Winga wa klabu ya Manchester United aliye kwa mkopo kwenye klabu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho ameendelea kua na mwendelezo mzuri wa kiwango ndani ya Borussia Dortmund. Jadon Sancho amekua …
Usiku wa leo kutakua na mchezo mkali wa kukata na shoka wa ligi ya mabingwa ulaya ambapo klabu ya Inter Milan itakua nyumbani kuikaribisha miamba ya soka kutoka nchini Hispania …
Inter na Atletico Madrid wameungana kwa ajili ya mpango wa kupinga ubaguzi wa rangi We Love Football kabla ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa na ujumbe kutoka kwa Marcus …
Klabu ya Manchester United leo itashuka dimbani kumenyana na klabu ya Fc Bayern Munich katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya ambao ukakwenda kuamua hatma ya klabu hiyo kwenye …
Simone Inzaghi anaeleza ingekuwa rahisi kubadilisha wachezaji wanne au watano wakati wa mapumziko lakini badala yake aliwapa wachezaji hao wa Inter nafasi ya kujikomboa katika mchezo wa kusisimua dhidi ya …
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amemlinganisha kiungo Jude Bellingham na Galactico Zinedine Zidane wa zamani. Bellingham alifunga bao la pili la Madrid dhidi ya Napoli huku vijana wa …
Kocha wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Italia Carlo Ancelotti amefanikiwa kupindua rekodi ya kocha Sir Alex Ferguson na kua kocha aliyeshinda michezo mingi kwenye ligi ya …
Mashabiki wa Ac Milan wanajipanga kumzodoa aliyekua golikipa wa klabu hiyo Gigi Donnarumma ambaye anakipiga ndani ya klabu ya PSG kwasasa kwa kumtupia pesa uwanjani. Mashabiki wa klabu ya Ac …
Kiungo wa klabu ya PSG ambaye yupo kwa mkopo klabu ya Rb Leipzig inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani Xavi Simons ameendelea kuwasha moto ndani ya klabu hiyo. Xavi Simons amefanikiwa …
Golikipa wa klabu ya Manchester United Andre Onana na beki Harry Maguire wamefanikiwa kuibuka mashujaa katika mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa ulaya katika mchezo wao dhidi ya FC …
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United Rasmus Hojlund amefanikiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa wiki wa ligi ya mabingwa ulaya. Rasmus Hojlund anaingia kwenye kinyang’anyiro hicho kutoka …
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ameeleza haogopi kibarua chake kua matatani licha ya kupoteza mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya klabu ya …
Klabu ya Manchester United leo itashuka dimbani dhidi ya klabu ya Galatasaray katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya, Wakijitafuta baada ya kua na mwanzo mbaya wa msimu. Manchester United …
Real Madrid ya Carlo Ancelotti itawatembelea Napoli siku ya kesho na, kama ilivyoripotiwa na La Gazzetta dello Sport, Merengues wanakaa katika hoteli moja ambapo mtaalamu huyo wa Kiitaliano alitimuliwa na …
Golikipa wa Manchester United na timu ya taifa ya Cameroon Andre Onana amezungumza na waandishi wa habari na kusema usiku wa leo watajitoa sana kuhakikisha wanapata alama tatu. Onana amezungumza …
Kocha wa klabu ya Bayern Munich Thomas Tuchel amesema kua tatizo kubwa linaloitafuna klabu ya Manchester United ni presha kubwa mabyo ipo kwenye klabu hiyo. Kocha Tuchel anasema kua ndani …