Valencia Inawinda kandarasi ya Goli Kipa wa Chelsea Kepa Arrizabalaga

Valencia wanavutiwa na kumsajili kipa wa Chelsea, Kepa Arrizabalaga ambaye hatma yake huko Stamford Bridge Iko matatani huku Chelsea ikiendeleza juhudi zao kujaribu kumsajili Mlinda lango wa Kimataifa wa Cameroon, Andre Onana kutoka AFC Ajax.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka jarida la Marca huko Hispania ni kwamba Valencia wanataka kumsajili Mhispania huyo kwa mkopo wa miaka miwili na chaguo la ununuzi linaweza kujumuishwa. Kiwango cha Kepa kimekuwa cha kupanda na kushuka tangu alipotua kwa £71.6m huko Stamford Bridge kutoka Athletic Bilbao mnamo 2018.

Kipa wa Akiba wa Chelsea, Willy Caballero mwenye umri wa miaka 38, alipewa mechi baada ya Kepa kuwa na kiwango cha chini mnamo Februari. MuArgentina huyo alidaka katika michezo muhimu dhidi ya Leicester City, Manchester United, Tottenham na Bayern Munich – ingawa baadaye Kepa alirudishwa kwenye jukumu hilo hadi sasa..

46 Komentara

    Wataweza kutoa £45+ kwajili ya kipa hao valencia?

    Jibu

    Kepa sio goli kipa mbaya ila tuuh naona hayupo katika mipango ya frank lampard

    Jibu

    Habar njema kwake na mashabik wake maana maisha ya darajan Kama yamefikah tamata vle thnks meridian bet tz kwa update

    Jibu

    watafanya vizuri kama watamsajiri kipa uyo maana daah

    Jibu

    Ifanye juhud kumpata kipa mzur sana

    Jibu

    Itakuwa njema Kama watamsajili golikipa huyo , kikubwa club inyooshe mkono sio sasa mkono uwe mfupi il wawez kumnasa kiuhakika zaidi.

    Jibu

    Maoni:Chelsea wanatakiwa wafanye kweli katka kumsajiri huyo mlinda mlango atawafaa.

    Jibu

    Chelsea wanatakiwa kutafuta kipa wa mashindano maana kwa arrizabalaga hafai kwa Chelsea maana anafungwa Magoli ya kizembe sana,

    Jibu

    Sidhani kama Chelsea wanaweza kumuachia kwa kipindi hiki ukizingatia amekuwa imara sana golini

    Jibu

    Kepa ni kipa mzuri sema chelsea impe muda zaidi kuliko kumwacha valencia wamchukue

    Jibu

    Kipa yuko vizuri Chelsea wasimuachie kabisa mana ameonyesha juhudi zake sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Sidhani Kama Chelsea wanaweza kumuachia kepa kwa sasa

    Jibu

    Chelsea hawawezi kumuachia kwa kipindi hiki

    Jibu

    Sijaelewa

    Jibu

    Watafanya vizuri Kama watamsajili

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Itakuwa vizuri Onana akija chelsea.

    Jibu

    Daah Lampard naye anazingua Mbna Keppa ni golikipa mzur sana cjui kwanini anamwacha

    Jibu

    Wakiwa na nia watapata wanachokitaka.

    Jibu

    Bora arudi kwao anaweza kwenda kufanya vizuri kuliko kubaki England pale ji pagimu sanaa

    Jibu

    Waongeze juhudi

    Jibu

    Chelsea hawawezi kuniachia kwa kipindi hiki kigumu

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Yupo Vizuri Lakini#Meridianbettz

    Jibu

    huyu mjeuki auzwe tu

    Jibu

    Yupo vizuli lakini anajua

    Jibu

    good news

    Jibu

    Taarifa iko poa kabisa

    Jibu

    Yuko vizuri #meridianbetz

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Wakaze ili ndoto yao ya kumpata itimie

    Jibu

    Uamuzi ni wao kumuuza au kumbakiza#meridianbett

    Jibu

    Habar njema sana 👍
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Kikubwa fedha

    Jibu

    Tokea alivyomdharau sarri, simuelew kabisa huyu kipa, aame tu

    Jibu

    Ni kipa mzuri anaweza kwenda club yoyote

    Jibu

    Mchawi pesa tu

    Jibu

    Chelsea sizani Kama wataweza kumuachia kiurahisi ivyo

    Jibu

    Keppa bado kipa mzuri nenda katafute changamoto nyingine#meridianbettz

    Jibu

    Sidhani kama Chelsea wanaweza kumuachia kwa kipindi hiki ukizingatia amekuwa imara sana golini bado kipa mzuri Ni vitu vidogo vidogo# meridianbettz

    Jibu

    Yupo vizuri sana

    Jibu

    Kepa ni Goal Keeper Mzuri jmn

    Jibu

    Yupo vizuri wafanye wamsajili

    Jibu

    Sidhani km ni rahisi kwao

    Jibu

Acha ujumbe