Vikosi vya Soka Vyenye Thamani Zaidi 2019/20

Manchester City wameibuka kuwa na kikosi chenye thamani zaidi katika vikosi vya soka ulimwenguni. Klabu hii ilishindwa kuulinda ubingwa wake wa Ligi ya Primia ba kuwarususu Liverpool kuibuka kidedea kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30.

Manchester City pia walishindwa kutoboa katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuchapwa 3-1 dhidi ya Lyon.

Hata hivyo, kwa mujibu wa dondoo za Transfermarkt, man City wameweza kuwa kileleni kwa kuwa na kikosi cha soka chenye thamani zaidi ulimwenguni. Kikosi ambacho kinakaribia thamani ya paundi bilioni 1.

Kikosi kamili cha Manchester City, kina jumla ya thamani ya paundi milioni 958, wakishika nafasi ya kwanza kwenye vikosi vya soka vyenye thamani zaidi mbele ya Barcelona (£955m) na mabingwa wa Premier League Liverpool (£917m) kwa jumla.

Nafasi 5 katika nafasi kumi bora, zimeshikiliwa na vilabu ya Ligi ya Premier. Chelsea wakiwa nafasi ya sita (£727m), Man United wakiwa nafasi ya tisa £685m, Tottenham wakiwa nafasi ya kumi (£637m).

Hata hivyo, licha ya vilabu vya Uingereza kutawala orodha hii ya vikosi vya soka vyenye thamani zaidi duniani, bado wamekwama kwenye Ligi ya Mabingwa. Hii inawafanya watupiwe macho zaidi katika uchambuzi wa thamani ya vikosi na mafanikio ya vikosi hivi.

Orodha kamili 10 Bora: Vikosi vya Soka Vyenye Thamani Zaidi Ulaya 2019/20

Vikosi vya Soka Vyenye Thamani Zaidi 2019/20


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi Ucheze

38 Komentara

    Hapa tunakuja kuona soka la sasa ni biashara ila sio uwezo au ukubwa wa kikosi sasa uingereza licha ya kuingiza timu nne zenye thamani kubwa ila bado kwenye ligi ya mabingwa hakuna tulichokifanya hii inamaana kwamba tuna nunua wachezaji kwa thamani kubwa aliyakua haendani na pesa za manunuzi kwa mchezaji huyo cha msingi kwa sasa nadhati wangejikita zaidi katika kuinua wachezaji kutoka academic na kutengeneza vikosi bora na imara kwa mpango enderevu katika soka hii itapelekea kuja kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa na mashindano mengine kwani timu itakua na wachezaji waliozoeana kwa mda mrefu.

    Jibu

    Nidhani Man U ipo namba moja! Pep Guardiola lazima ajiulize sababu ya kikosi chake ghali na ameshinda Carabao pekee#meridianbettz

    Jibu

    Kumbe hivyo mbona wametusahau Arsenal au hatuko kwny soka la biashara ?

    Jibu

    Hatari sana.

    Jibu

    Duh! Nlkua cjui kama man city ni ghal

    Jibu

    Safi

    Jibu

    duh kumbe man city ni kikosi chenye thamani zaidi kuliko vyote ulimwenguni

    Jibu

    Mpira ni ufundi na biashara tu ndio soka la siku hizi

    Jibu

    Woooh asanteni kwakunijuza

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Waingereza wameingiza timu tano lkn mbona hatuoni faida yoyote ile inayoendelea katika usajili wanao ufanya

    Jibu

    Baada ya dirisha la usajiri kutakuwa na mapinduzi makubwa sana kwenye hii list

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    united wapo chini sana duh

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema 👍
    @meridianbettz

    Jibu

    kutakuwa na mapinduzi makubwa sana kwenye hii list#meridianbett

    Jibu

    Hinaonesha kabac soka la sasa lipo kibiashara zaidi

    Jibu

    Hapo kazi ipo!

    Jibu

    Asante meridianbet Kwa taarifa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Wengine wamewek pesa lkn ata komb awajapata

    Jibu

    Mm naona kalibia ya timu zote za uingereza ni bora kwenye vilabu vyake ndiomaana mchezaji akitua kwenye vilabu vya uingereza umeona ndio amecheza soka kweli kweli

    Jibu

    Duu Atari sana

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Duh noma sana hiiiii City wametishaaa

    Jibu

    Hata hivyo, kwa mujibu wa dondoo za Transfermarkt, man City wameweza kuwa kileleni kwa kuwa na kikosi cha soka chenye thamani zaidi ulimwenguni. Kikosi ambacho kinakaribia thamani ya paundi bilioni 1.

    Jibu

    Man city mmetisha xana!!!;

    Jibu

    Nilijua kuwa man u itakuwa ya kwanza kutokana nakuwa na mashabiki wengi kumbe nafasi ya tisa na pia nafasi ya kwanza wako vizuri lakininpia wameshindwa kuweka heshima yao katika ubigwa baada ya kupoteza inaonekana kama hasaivi timu kubwa wamebaki jina tu

    Jibu

    Vikosi vizuri Sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Bora nimekiona kikosi changu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.