Makala nyingine

Mtendaji Mkuu wa Klabu wa Simba Sports Club, Barbara Gonzalez amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye timu hiyo ndiyo sababu iliyowafanya kuchukua ubingwa wa ligi kwa mara ya nne mfululizo. Barbara …

Baada ya papatu papatu ya dakika tisini za kushambuliana kwa wakati huku Simba wakionekana wapo kwenye wakati mzuri, ni rasmi sasa timu hiyo ya Msimbazi imetangazwa bingwa wa VPL kwa …

Uwanja wa taifa ulisubiri kwa hamu kubwa kushuka uwanjani kwa wachezaji wa Simba na Yanga katika ile Derby yenye joto kubwa zaidi Afrika Mashariki na kati. Mchezo huu ulianza kwa …

Zikiwa zimesalia saa chache tu kabla ya ule mchezo wa kukata na shoka kati ya watani wa jadi wa ligi kuu ya Tanzania, Simba vs Yanga, hali ya shahuku, tambwe …

Wallace Karia anakuwa mgombea pekee wa nafasi ya Kamati ya Urais wa TFF baada ya wagombea wengine wawili [Hawa Mniga na Evance Mgeusa] kukosa sifa za kuendelea na uchaguzi kwa …

Klabu kubwa nyingi duniani zimekuwa zikitumia mashabiki kama sehemu ya kujipatia mapato ili kuendesha shughuli mbalimbali za klabu ikiwemo usajili, mishahara na hata matumizi mengine ya klabu. Maendeleo haya makubwa …

Baada ya safari ndefu ya timu ya Yanga, huku wakipitia safari ndefu yenye milima, mabonde, jua kali, mvua nyingi ila bila kukata tamaa, hatimaye Yanga imefanikiwa kufikia mabadiliko katika klabu …

Huenda ile derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga ikachezwa kwingine katika hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la Azam kule Kigoma baadae mwaka huu. Siku ya jana, …

Kikosi Cha Simba Sports Club leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ikiwa na lengo moja tu la kusaka alama tatu …

Hakika usiku wa jana ulikuwa na maajabu sana hususan mashabiki wa Yanga ambao walikuwa na siku ya majonzi kabla ya kugeuzwa na kuwa siku ya furaha. Timu hiyo ilikuwa wakicheza …

Usiku wa jana ulikuwa maalum kwa Azam Fc, ambapo wachezaji wake wawili, Mpiana Mozinzi na Seleman Nado ambao walitupia mabao mawili kila mmoja na kuhakikisha ushindi wa 4-1 kwa Azam …

Huku tetesi nyingi za usajili zikiendelea kwenye ligi kuu bara, Msimbazi kuna sitofahamu kubwa kuhusu nafasi ya viungo wakabaji wa timu hiyo, Gerson Fraga anahusishwa kurudi Msimbazi huku Jonas Mkude …

Wadhamini wakuu wa ligi kuu Tanzania bara, Vodacom wameamua kujitoa kwenye udhamini wa ligi hiyo kutokana na kinachosemakana kuwa wanapata hasara kubwa kwenye udhamini huo. Taarifa hiyo imekuja baada ya …

Mchezaji wa Azam FC Prince Dube ameibuka mchezaji bora wa mwezi mei wa VPL, huku kocha wake mzambia George Lwandamina akiibuka kocha bora wa mwezi mei vilevile kufuatia mchezo mzuri …

Ujio wa Gomez Msimbazi umefanya Simba kuwa bora sana. Kwa kipindi cha hivi karibuni, klabu ya Simba imekuwa katika kipindi kizuri sana na bila shaka kila shabiki wa Simba anafurahia …

1 2 3 4 5