Ujio wa Gomez Msimbazi umefanya Simba kuwa bora sana. Kwa kipindi cha hivi karibuni, klabu ya Simba imekuwa katika kipindi kizuri sana na bila shaka kila shabiki wa Simba anafurahia hilo, lakini msingi wa yote haya ni Gomez ambaye amekuwa akifanya maajabu nyuma ya mchezo mzuri wa Simba.

Gomez alijiunga na Simba miezi kadhaa nyuma baada ya Kocha wa awali kuondoka kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni matatizo ya kifamilia. Uwepo wa Kocha Didier katika klabu ya Msimbazi kumeifanya tishio nyumbani na ugenini.

Kocha huyu amefanikiwa kuonesha ujuzi wake katika kila mchezo kwa kuonesha uwezo mkubwa wa kusoma mchezo na kujua namna ya kujibu mahitaji ya mechi husika. Gomez amefanikiwa kuitengeneza Simba ambayo inashambulia na kujilinda vyema sana.

Klabu ya Simba, katika mechi 5 zilizopita imefunga magoli matatu huku ikishinda zaidi ya magoli 10. Katika mechi tatu nyuma Simba imeonesha ubora wa safu yake ya ushambuliaji kwa kugawa dozi ya goli tatu tatu.

Gomez amefanikiwa kutumia wachezaji wale wale wa Simba na bila shaka kama akipata wachezaji kadhaa wapya basi timu yake itakuwa tishio zaidi ukanda huu wa Afrika mashariki na hata kule klabu bingwa Afrika.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa