Simba Na Yanga Fainali ASFC Cup?

Huenda ile derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga ikachezwa kwingine katika hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la Azam kule Kigoma baadae mwaka huu.

Siku ya jana, Yanga ilifanikiwa kuingia katika hatua ya fainali baada ya kuifunga biashara United kwa bao moja kwa bila. Yanga imetangulia katika hatua ya fainali na sasa inasubiri mshindi kati ya Azam na Simba

Nusu Fainali ya pili ya Azam sports federation cup, timu ya Gomes Da Rosa ni bingwa mtetezi. Mechi yenye ugumu wa kipekee kutokana na viwango vya hivi Karibuni kwa timu zote mbili, kitakwimu mechi tano za mwisho vilabu vyote havijapoteza mchezo hata mmoja.

Kimbinu George Lwandamina na Da Rosa,Wote wamekuwa siyo wa kutabilika,kila siku wanakuja mbinu mpyaaa,Da Rosa ametambulisha formation ya 3:5:2,ambapo anaanza na nyote wake wote wanaocheza eneo la Ulinzi,Erasto Nyoni, Kennedy,Onyango,Wawa,simba hajapoteza mchezo wowote tangu May 15 dhidi ya Kaizer chiefs kule South Africa.

Upande wa Azam uwepo wa Prince Dube,ni tishio kwa eneo la Ulinzi la simba ambalo linaongozwa na Joash, lakini simba wanajivunia kurudi kwa Chama ambaye ni Bora kila Mechi.

Simba anajiamini kwa kuwa na wachezaji wenye viwango lakini ni klabu dhaifu kama unaingia na mfumo wa battle, Azam eneo la mbele Lina Dube,Lyanga,na Nado ambao wote wanakuoffer kitu bora.

Bonge moja ya game Azam Fc lazima aje na upambanaji, morali, na hamasakwa sababu analihitaji hili kombe. Mechi hii itapigwa baadae majira ya saa tisa na nusu kwa saa za Afrika Mashariki!


USHINDI BILA MIPAKA!

Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.
Arsenal, Arsenal Wawasilisha Ofa ya Pili Joaquin Correa., Meridianbet

Acha ujumbe