Timu ya Simba imejikusanyia alama 3 za kwanza kutoka kanda ya ziwa katika lile lengo lao kukusanya alama 9. Timu hiyo ilipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Mwadui FC, kwa goli pekee la Kapteni Super Sub, Joohn Bocco.

sIMBA YAIPOTEZA MWADUI
Goli pekee la John Bocco
Simba imedhamiria kukusanya alama tisa kutoka ukanda wa ziwa ambapo watakutana na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba siku ya Jumatano, kabla ya kumalizana na Gwambina siku ya jumamosi.

Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara unaendelea kuwaweka vinara Yanga kwenye presha kubwa kutokana na spidi ya ushindi wa mabingwa watetezi Simba. Yanga inaongoza msimamo wa VPL ikiwa na alama 54, huku mabingwa wakishika nafasi ya pili ikiwa na alama 52 na michezo mitatu mkononi. Endapo mabingwa hao wa nchi watashinda mechi zote watarudi kileleni kwa kishindo kabisa.

Ikumbukwe kuwa mabingwa hao wa VPL walipata viporo vya mechi hizo wakiwa katika kutafuta ubingwa wa champions League Afrika.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

simba, Simba Yakusanya Alama 3 Kanda Ya Ziwa, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa