Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa amesema kuwa kauli aliyoitoa Afisa Habari wa klabu hiyo Hassan Bumbuli kutoutambua mchezo wa Ligi dhidi ya Simba, July 03 SIO KAULI YA KLABU. Mfikirwa amedai kuwa klabu itatoa kauli rasmi kuhusu mchezo huo.

Mnamo tarehe 8 mwezi wa tano, mechi ya watani wa jadi ililazimika kuahirishwa kufuatia sintofaham iliyoibuka baada ya Yanga kuondoa timu uwanjani kufuatia mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa kiholela.

Hapo jana msemaji wa wa timu hiyo, Hassan Bumbuli alidai kutoutambua mchezo wa timu hiyo dhidi ya Simba kwamba wao walishamalizana nao, lakini Katibu mkuu wa klabu hiyo amedai kuwa kauli hiyo sio ya klabu na wao kama wanajangwani watatoa tamko rasmi ivi karibuni.

Yanga

Mechi ya watani hawa wajadi imepangwa kufanyika tena tarehe 3 mwezi wa Saba lakini kumekuwa na Sintofaham kuhusu uwezekano wa Yanga kutoleta timu uwanjani siku hiyo.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa