Wachezaji wa klabu ya Watford wanaripotiwa kukataa kurudi kwenye mazoezi baada ya klabu kuwa na kesi tatu kati ya sita za coronavirus zilizoripotiwa kwa Vilabu vya Premier league… Nahodha wa Tge Hornets, Troy Deeney alisema Jumanne hatakuwa akihudhuria mazoezi kwani anaogopa kumuweka mtoto wake hatarini.
Mchezaji mmoja wa Watford na wafanyakazi wawili wamekutwa na coronavirus baada ya hatua ya kwanza ya vipimo kufanyika Jumapili na Jumatatu… Baada ya The Hornets kuweka wazi habari hiyo, wachezaji kadhaa wa Watford wanajiunga na msimamo wa Deeney na watakataa kurudi mazoezini leo Jumatano, kulingana na The Athletic.
“Inachukua mtu mmoja kuambukizwa ndani ya kundi na sitaki kuwa mmoja na kuleta nyumbani,” alisema Deeney. “Mwanangu ana umri wa miezi mitano tu, alikuwa na shida ya kupumua, kwa hivyo sitaki kurudi nyumbani kumuweka kwenye hatari zaidi.”
frank patrick
Watu walimpinga sana lakn undani wa hili jambo kumbe upo hivii
Tahiya
Izo ni habari za kusikitisha daah
SADICK
Duh! Bundi ananyemelea project restart #Meridianbettz
Theonestina
Duuuh atar
Khadija
duuh noma sana
Emmy cleopa
Ni habar za kuhuzunisha sana tatizo colona hii sio nzuri kabisa
Isha
Duuh inasikitisha sana
Antony Luseno
Mungu ajalie mambo yaende sawa
Shafii
Mungu awaepushe na janga hili
mwakalosi
Body ya ligi inabidi ipitie tena maana wakileta mzaha ligi inaweza simama tena
Hamidu
Safi! Habari nzuri za michezo.#meridianbettz
Neema juma
Mungu aingilie katiii kwa kweli.
Kenani
Duuh noma
Povel
Pole sana thanks meridian kwa update
Mwanaidi
balaa zito
Genia Sikaluzwe
Daaaah siyo poa
Gabriel
Habar ya kuhuzunisha
Zeiyana iddi
Daah..!tulimiona jamaa muoga kumbe kweli viongozi hawapo makini..!Watford mnatuangusha mashabiki wenu
winfrida
mungu awaepushe na ili janga
Rehema
Mungu amjalie Mambo yawe mazuri
Ernest
Deeney needs to isolate himself from his family and join the club for training
David pere
Walikuwa hawajajilinda na corona
Salma
Dah! Hatarii
Furahav
Duuh sio poa.
Mwanaidi
Duuh balaa
Ester
Viongozi wao hawapo makini sana kabla ya kurudi katika mchezo wangefanyiwa kwanza vipimo na kujua kama wachezaji wao wako salama au laaa
Asia Abdy
Inaogopesha jmn hil gonjwa co poa
Rehema
Mungu ajalie Mambo yawe mazuri
Lombo
bad news
Mwajuma
Mm ishakuwa tatizo
Amani
Naona Liverpool wanavyo omba wapone haraka ligi iendelee watoe gundu#meridianbettz
Rehema Dickson
Viongozi wanatakiwa waongeze umakin zaidi kabla mchezaji ajaingia kambini achekiwe na wajilizishe kua Hana tatizo tuwe makini jamn huu ugonjwa ni hatari sana
Mariam mtandama
Duuuh
Theckla
Umakini zaidi unatakiwa katika kipindi hiki kwani hili gonjwa limekuwa tishio sana
Hidaya Mohammed
Corona noma waendee kuchukua tahadhari zaidi
Mwanahamisi
Duu hatari sana
felister
dah mungu atuondoshee hili janga jamani
Magdalena
Mungu aendelee kutupigania zidi ya corona
Lydia Emmanuel Magoti
Mungu awajarie Mambo yaende sawa
Isaya massawe
Lazima waangalie na usalama wao kwanza
Samira
Mungu asaidie hili nalo litapita
Samiah
Mungu awaepushe na gonjwa hilo
Agness
Hiyo balaa