Friday, November 25, 2022
NyumbaniFootballWorld Cup 2022

World Cup 2022

HABARI ZAIDI

Dembele Anasema Amekomaa Tangu Ufaransa Iliposhinda 2018

0
Ousmane Dembele anasema amepevuka kama mtu na mchezaji tangu Ufaransa ilipochukua Kombe la Dunia mwaka 2018, kufuatia kuanza kwa ushindi katika kutetea taji lao...

Mitrovic Arejea Mazoezini Kuwakabili Brazil

0
Aleksandar Mitrovic amerejea mazoezini na Serbia na yupo nje ya  maumivu baada ya jeraha lake la mguu, huku nchi yake ikiwa na kibarua kizito...

Carter Vickers Ampigia Saluti Harry Kane

0
Carter-Vickers amemwagia sifa mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane kwa kuonyesha kiwango cha juu kabla ya pambano lao litakalowakutanisha kati ya Marekani na Uingereza.   Kama Kane,...

Modric Asisitiza Kuwa Croatia Itakuwa Bora

0
Luka Modric amesisitiza kuwa Croatia haiko kwenye Kombe la Dunia ili tu kushiriki huku akitaja kuwa wana matamanio makubwa licha ya kuanza michuano hii...

Brazil Kuanza Kulitafuta taji la Sita Leo

0
Timu ya taifa ya Brazil itaanza kampeni yake ya kulisaka taji la sita la kombe la dunia nchini Qatar dhidi ys timu ya taifa...

De Bruyne: ” Sikucheza Mchezo Mzuri”

0
Kiungo wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ubelgiji Kevin De Bruyne alitawazwa mchezaji bora katika ushindi wa 1-0 wa Ubelgiji dhidi ya...

Luis Enrique: “Gavi Atakuwa Nyota wa Mpira”

0
Kocha mkuu wa Uhispania Luis Enrique anaamini kuwa Gavi atakuwa mmoja wa "mastaa wa soka" baada ya kijana huyo kufunga bao lake la kwanza...

Delaney Kutoshiriki Michuano Yote ya Kombe la Dunia

0
Kiungo wa kati wa Denmark Thomas Delaney ameondolewa kwenye mechi zilizosalia za Kombe la Dunia baada ya kulazimishwa kutolewa nje na jeraha katika mchezo...

Uingereza Wakumbwa na Hofu ya Majeraha| Kane Huenda Akaukosa Mchezo na...

0
UINGEREZA inakabiliwa na hofu kubwa ya majeraha Kombe la Dunia huku nahodha wake Harry Kane akifanyiwa uchunguzi wa kifundo cha mguu.   Nahodha huyo wa Uingereza...

Argentina Yapoteza kwa Saudia| Mashabiki Wachukizwa Lisandro Martinez Kuanzia Benchi

0
Argentina iliyotangulia kufunga bao la kwanza kupitia kwa nyota wao Lionel Messi, imepoteza mchezo kwa mabao 1-2 dhidi ya Saudi Arabia ambao kwenye mchezo...