Antonio Mateu Uvunja Rekodi ya Kutoa Kadi 18 Mechi ya Argentina

Mwamuzi Antonio Mateu Lahoz wa Hispania amevunja rekodi ya kutoa kadi za njano hadi kufikia 18 , kwa wachezaji na Benchi la ufundi katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia kati ya Uholanzi dhidi ya Argentina.
Antonio Mateu Uvunja Rekodi ya Kutoa Kadi 18 Mechi ya Argentina

Kadi hizo zilitolewa kwa Kocha wa Argentina Lionel Scolani na Mmoja wa Makocha wa timu hiyo Walter Samuel , huku wachezaji nane wa Argentina na Saba wa Uholanzi Danzel Dumfries akionyeshwa kadi mbili za njano zilizozaa nyekundu.

Hivyo huu unakuwa mchezo uliozalisha kadi nyingi zaidi za njano katika historia ya Kombe la Dunia , na kuivuka ile ya kadi 16 zilizotolewa 2006 katika mchezo wa Ureno dhidi ya Uholanzi uliopewa jina la “Battle of Nuremberg”

Antonio Mateu Uvunja Rekodi ya Kutoa Kadi 18 Mechi ya Argentina

Walioonyeshwa kadi na dakika zao ni
Walter Samuel (31) Argentina Coaching staff
Jurien Timber (43)
Marco’s Acuna (43)
Christian Romeo (45)
Wout Weghorst (45+2)
Memphis Depay (76)
Lisandro Martinez (76)
Steven Berghuis (88)
Leandro Parades (89)
Lionel Scaloni (90) Kocha Argentina
Lionel Messi (90+10)
Nicolas Otamendi (90+12)
Steven Bergwijn (91) Extra time
Gonzalo Mentiel (109) ET
German Pazzela (112) ET
Denzel Dumfries (128) Wakati wa penati)
Denzel Dumfries (129) ya piliWakati wa penati ikazaa nyekundu
Noa Lang (129) Wakati wa penati

Antonio Mateu Uvunja Rekodi ya Kutoa Kadi 18 Mechi ya Argentina

Argentina wamesonga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia ambapo watamenyana dhidi ya Croatia.

Acha ujumbe