Winga hatari kutoka klabu ya Borussia Dortmund  Marco Reus atakosekana tena kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Qatar ndani ya mwezi huu, Baada ya kutangazwa kwa kikosi cha timu ya taifa na jina lake kutokuonekana.

Winga huyo bora na nahodha wa klabu ya Borussia Dortmund atakosekana kwenye michuano ya miwili ya kombe la dunia ambayo alikua anaonekana kua na nafasi ya kutamba na timu hiyo taifa baada ya kuikosa mwaka 2014 Ujerumani wakiwa mabingwa pia mwaka 2022 pale Russia mchezaji huyo alikosekana.marco reusPia nyota Marco Reus alikosa michuano ya Euro mwaka 2016 iliofanyika 2016 pamoja na Euro 2020 kitu kinamchomfanya kua miongoni mwa wachezaji wenye bagati mbaya na michuano ya timu za taifa.

Michuano pekee ya kombe la dunia ambayo alishiriki ni kombe la dunia 2018, Ambapo ujerumani walienda kama bingwa mtetezi na bahati mbaya timu hiyo iltolewa katika hatua ya makundi baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya mitatu.marco reusKikosi cha Ujerumani cha wachezaji 26 kimetajwa kuelekea Qatar na jina ka Marco Reus kutokuonekana kutokana na majeruhi ambayo yanamkabili mchezaji huyo.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa