Katika mechi ya leo ya Ujerumani dhidi ya Costa Rica kwenye Kombe la Dunia,  historia inakwenda kuandikwa ambapo timu ya waamuzi wa kike itakapochezesha mchezo kati ya timu hizo mbili kwa mara ya kwanza kwenye fainali hizo.

 

Waamuzi wa Kike Kuweka Historia Kombe la Dunia Leo

Waamuzi hao wanatoka katika Mataifa mbalimbali ambapo, mwamuzi wa kati Mfaransa Stephanie Frappat atasaidiwa na Neuza Back kutoka Brazil na Karen Diaz Medina kutoka Mexico.

Hii ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa fainali hizo mwaka 1930, kwa Waamuzi wa kike kuchezesha kwa maana ya Mwamuzi wa kati na wasaidizi wote.

Waamuzi wa Kike Kuweka Historia Kombe la Dunia Leo

Ujerumani ambapo wapo nafasi ya mwisho kwenye Kundi E itahitaji pointi tatu hii leo ili aweze kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano hii, huku akiomba Hispania iichape Japan kwa mbao mawili kuendelea.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa