Mwanamama Stephanie Frappart,36 raia wa Ufaransa anajisikia furaha kwenda kuweka rekodi katika Mchezo wa Juventus dhidi ya Dynamo Kiev katika dimba la Allianz.

Frappart anatarajiwa kuweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha mashindano ya wanaume ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA).

Mwamuzi huyo pia alivunja Rekodi ya Kuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha mchezo wa Super League mwaka 2019 iliyowakutanisha Liverpool dhidi ya Chelsea.

 

frappart, Frappart Kuwa Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha UEFA., Meridianbet

Mwamuzi huyo anatarajiwa kuongoza mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Juventus watakao kuwa nyumbali Italia katika dimba la Allianz dhidi ya wageni Dynamo Kiev kutoka Ukraine.

Hakuna mwanamke yeyote aliyewahi kuchezesha mashindano hayo tangu Ligi hiyo kuanzishwa.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

frappart, Frappart Kuwa Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha UEFA., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

20 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa