Ushindi uko hapa Meridianbet kupitia Pragmati Play kwenye The Great Chiken Escape! gemu hii inawasaidia kuku kutoroka na hapa wewe unapata nafasi kubwa ya kufurahia mchezo na ushindi mnono.
Meridianbet kupitia Mchezo wa Pragmatic wa kumtorosha kuku mjanja husaidia na vifaranga kutoroka, pamoja ni inakuhakikishia masaa kibao ya burudani ya hali ya juu na fursa ya kushinda tuzo kubwa kubwa!
Sloti hii ya video ya ina reels 5 na mistari 20 ya malipo. Katika kucheza, unaweza kurekebisha mchezo wako kwa kubonyeza kitufe cha – / + kisha bonyeza SPIN kisha utazame alama ya Jogoo, kwa sababu hii ni ishara yetu ya jocker.
Jocker? ndiyo, hubadilisha alama zote isipokuwa alama za Bonasi. Alama tatu au zaidi za bonasi hupelekea vipengele vya ziada vya mchezo wako. Kuna aina nyingi, kama tano za vipengele vya bonasi ambavyo hupatikana kwa bahati nasibu kwenye gemu hii.
Ikiwa unapata alama tano za bonasi mara moja, unaanza kushinda pesa kubwa kwenye BIG MONEY au ushindi mkubwa BIG WIN! Umeshatamani kushinda, Tutakupatia vipengele hivi vitano vya bonasi!
Kipengele cha kwanza cha bonasi ni mizunguko ya bure inasomeka “Free Spins”, ambayo huchakatwa wakati wa mchezo mkuu na una vipengele 3, Guard Dog Wilds, Chicken Run Wilds na Care Package.
Kipengele kingine cha ziada cha bonasi Tunnel ya siri ni “Secret Tunnel”, ambayo ni mizungoko ya nasibu ya bonasi kwa vifua vitatu huonekana kwenye skrini. Chagua kifua kimoja na upate tuzo isiyo ya kawaida.
Sehemu ya tatu ya ziada ni Poultry on the Move.. Mchezo huu wa bonasi una pointi 22 na kila pointi inawakilisha tuzo unayoweza kuibamba ya pesa kwa kuchagua moja ya mayai matano ya dhahabu.
Kipengee cha ziada cha nne ni kushinda mizunguko ya bure “Win Free Spins” hapa unapata raundi kumi za bure ikiwa Jogoo anaonekana.
Sifa ya tano ya ziada ni nafasi ya upande mwingine inasomeka “On the Other Side”, ambapo unapata mizunguko tisa ya bure na mzunguko moja maalum kwa jocker. Na kipengele kikubwa zaidi cha bonasi ni kubwa ya pesa inasomeka “Big Money Bonus”, ambayo ni kama pipa 12, kila moja ikitolewa pesa kibao.
Daniel
a great game thanks #meridian #meridianbettz
SADICK
Dah slot game ya ukweli. Asante meridianbet
Gabriel
Meridianbet mnamichezo ming ya kufurahisha
Tatu
Nawapenda sana meridian
aisha
ndio maana mnatubamba na hii corona
Aziza mushi
Vizuri Sana michezo Kama hi ndio mizuri kwa kipindi Kama hichi
Amani
I love you meridian Kila siku yangu inaenda vizuri kwa kupata pesa nanyi
Hidaya Mohammed
Meridianbet mnazidi kutupa raha wateja wenu
Neema hassan
Meridianbet Kila cku mnatuletea michezo mipya mko vizuri sana
felister
cjawai jutia kubashir meridian
Furahav
Meridian haiwezekani.
Mariam mtandama
Duuuh munazidi kutuba mambo mzur hadi raha
mwakalosi
freegames zinapatika za kutosha
Tahiya
Big bonus nimeipenda zaid kwnye hii game ya slot
Frank Patrick
michezo ya bure yakutosha kwenye huu mchezo
Ernest
Hivi mnaweza ongeza kiasi upande wa slots?
Adelta
Michezo yenu mizuri Sana
Juliana
Kwahiyo unabashiri mda wote
Ester mmakasa
Na hii game inachezwa kwa kiasi gani mtandaoni?
Neema juma
Haki ya nani vilee mnanikoshaa sana
Magdalena
Duh mchezo Bomba Sana huu naanzaje kukosa pesa
Lombo
vzur meridianbet mna game mzur san nmeipenda hii
Povel
Ipo vzr sana michezo ya free boti Kama yte thnks meridian bet tz
Kenani
Hahahaha hii game huwa naipenda sana
Emmy cleopa
Meridian mpo vizur maana michezo yenu ni mizur
Caroline
Meridian mna misemo jmn
David pere
Ongezwni hata kiwango huku kwenye slot na sisi tufurahi zaidi
Genia Sikaluzwe
Michezo mingi Sana #meridianbet
Theonestina
Huu mchezo unanifurahishaga sana jamani
Shafii
Mko vizuri meridianbet
Issa
Game za kukupa burudani huku ukipiga mkwanja na meridian bet