Bingwa wa masumbwi, Tyson Fury alimempiga KO Dillian Whyte katika raundi ya sita na kutwaa taji lake la uzito wa juu la WBC mbele ya pambano lililojaza watu 94,000 pale Wembley.

Fury alimdondosha Whyte kwa pigo la uppercut ikiwa imesalia sekunde moja kuingia katika raundi ya sita. Alijitahidi kusimama, lakini aliduwazwa vibaya na mwamuzi akamaliza pambano.

 

fury, Fury Ampiga White KO, Atangaza Kustaafu!, Meridianbet

Fury, 33 ambaye hajapoteza pambano amehusishwa na pambano la undisputed la dunia dhidi ya mshindi wa mechi ya marudiano kati ya Anthony Joshua na Oleksandr Usyk, lakini bondia huyo apendekeza kwamba angestaafu kufuatia ushindi huu.

“Nadhani ndiyo ilivyo,” Fury aliiambia BT Sport. “Inaweza kuwa pazia la mwisho kwa Mfalme wa Gypsy, njia bora kabisa ya kuaga.”

Whyte alianza pambano hilo kwa njia ya kustaajabisha katika raundi ya kwanza, hatua ambayo ilionekana kumkera Fury hapo awali, kabla ya kurejea kwenye raundi ya pili.

Tyson ameshinda mapambano 32 kati ya 33 akiwa ametoka sare pambano moja alisema, “Nilimwambia mke wangu mpenzi kule Paris, ningestaafu baada ya pambano dhidi ya Deontay Wilder itakua hivyo na nilimaanisha.

“Lakini nilienda na nikapewa nafasi ya kupigana Wembley na nafikiri ilikuwa kwaajili ya mashabiki wangu kuja na kupambana hapa.

“Sasa nimemaliza kila kitu, napaswa kuheshimu maneno yangu….njia bora kabisa ya kuondoka!” aliongeza.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa