Baada ya tetesi nyingi sana, sasa Barcelona wametangaza usajili wao wa pili na Eric Garcia na sasa atakuwepo Camp Neo mpaka mwaka 2026.
Barcelona imeendela kuboresha kikosi chake kuelekea mbio za kuwania taji la Laliga msimu ujao baada ya kushindwa kufanya hivyo msimu huu.
Eric Garcia anarejea Barcelona kutoka Mancheester City baada ya kuondoka katika akademi ya Barcelona mwaka 2017 ambapo alijiunga na Manchester City mpaka hivi sasa aliporejea Barca.
Garcia anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Barcelona baada ya hapo jana Sergio Aguero kutangazwa kama mchezaji rasmi wa Barcelona kwa miaka miwili.
MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Safi sana
Vizuri
Good