KUFUATIA michuano ya kimataifa, Uongozi wa Geita Gold umewaomba kwa mkopo, Yacouba Songne na Yacouba Songne.

Timu hiyo inatarajia kushiriki michuano ya Shirikisho barani Afrika kwa msimu ujao baada ya kushika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Mtendaji Mkuu wa Geita Gold, Simon Shija amesema kuwa “Mipango ya usajili inaendelea vizuri na tayari tumewasajili wachezaji kulingana na matakwa ya kocha.

 

geita, Geita Yawafuata Mastaa Simba, Yanga., Meridianbet

“Tumeomba wachezaji kadhaa kwa mkopo kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu na hiyo ni kutokana na michuano ya kimataifa na miongoni mwa hao tuliwaomba ni Yacouba na Kagere.”

Endapo Geita Gold watapewa wachezaji hao kwa mkopo ni wazi watakuwa na kikosi kizuri kwani wachezaji hao wana uzoefu mkubwa kwenye mashindano ya ndani na nje ya Tanzania.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa