Georginio Wijnaldum na Mpango wa Kusalia Liverpool

Georginio Wijnaldum anatarajia kukaa kitako na Jurgen Klopp kuamua hatma yake klabuni Liverpool.

Staa huyu anadaiwa kuwa amejiandaa kuwasilisha ombi lake la uhamisho, kama siyo kukubaliana dili mpya. Wijnaldum amebaikia na miezi 12 tu mwenye mkataba wake sa sasa.

Baadhi ya taarifa zinasema kuwa Staa huyu yupo tayari kusaini mkataba mpya, na kwa awali angeweza kusajili makubaliano ya mwanzo wakati mambo mengine ya kimkataba yakiendelea kupikwa mezani.

Georginio Wijnaldum
Georginio Wijnaldum

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari za michezo vya nchini Hispania zinadai kuwa Staa huyu anataka kushinikiza uhamisho kuelekea Barcelona. Hii ni baada ya Ronald Koeman kutajwa kuwa anamuangalia Wijnaldum kama kipaumbele chake cha uhamisho.

Vyanzo kutoka Uingereza vinaamini kuwa Georginio Wijnaldum bado yupo katika mipango ya Jurgen Klopp katika kuanza kuutetea ubingwa wa EPL msimu mpya.


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

45 Komentara

    Popote kambi na uwamuzi wako ndio mayanikio yao

    Jibu

    Georginio Wijnaldum alisajiriwa na Liverpool kutokea Newcastle baada ya kushuka daraja na tangu wakati huo amekuwa kikosi cha kwanza naaimini ana nafasi kuendelea vizuri akisalia Liverpool#meridianbettz

    Jibu

    Hapo ni maamuzi yake kusalia au kwenda popote sisi mashabik wake tupo pamoja naye

    Jibu

    Ni maamuzi tu achague wapi anataka kupatumikia kwa mda huu

    Jibu

    Uamuz huu huko vzur

    Jibu

    Popote Jambo umauzi wako

    Jibu

    Tusubiri kuona msimamo wa kocha wake wa Liverpool km ataitaj kumtumia la asepe zake barca

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

    Liverpool timu kubwa.tulia humo humo

    Jibu

    Popote kambi tu na uwamuzi unao mwenyew wap pa kwenda#Meridianbettz

    Jibu

    Maamuzi Ni yako utajua wapi uwende

    Jibu

    Akibaki liver litakua jambo zuri.

    Jibu

    Kambi popote#meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Kila mtu na uwamuzi wake

    Jibu

    Habari nzuri kokote kambi

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    kambi popote

    Jibu

    Makala safi

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Sio jambo baya

    Jibu

    Maisha popote

    Jibu

    Ukiangalia kwa makini huenda Liverpool wasipendezwe na mchezaji huyu kuhama lakini kutokana na nia ya mechezaji mwenyewe na mambo ya kibiashara Liverpool hawana Budi kumuuza Wijnaldum

    Jibu

    Nenda salama kakipige liverpool kila la kher

    Jibu

    Liverpool wambakize atawasaidia

    Jibu

    Hapo ni maamuzi yake kusalia au kwenda popote sisi mashabik wake tupo pamoja naye

    Jibu

    Inapendeza km atabaki

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    maamuzi yake kusalia au kwenda popote sisi mashabik wake tupo pamoja naye

    Jibu

    Uamuzi upo kwake.

    Jibu

    Maamuz ni yak

    Jibu

    Maamuzi ni yake.

    Jibu

    Fanya maamuzi sahihi!!!

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Huyu Bado hajajua mwelekeo wake#Meridianbettz

    Jibu

    Widjeadam ni safi sana kuendelaea na liver

    Jibu

    Kokote kambi

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Ni safi kuendelea kuifanyia mazuri liverpool

    Jibu

    Maamuzi mazuri

    Jibu

Acha ujumbe