Shirikisho la soka nchini Nigeria (NFF) linangojea maamuzi ya FIFA yanayotarajia kutolewa hivi karibuni kuhusu madai ya aliyekuwa kocha wa timu yao ya Taifa Gernot Rohr.

Rohr ambaye aliiongoza timu hiyo tangu mwaka 2016 alifukuzwa kazi mwezi Desemba mwaka jana, wiki nne tu kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON.

Gernot Rohr
Gernot Rohr

Kocha huyo anadai fidia ya dola za Kimarekani Milioni 1 kwa kufukuzwa kazi kinyume na haki.

NFF ilikubali kumlipa Rohr mshahara wake mpaka mwisho wa mkataba wake ambao ulitakuwa kuisha mwezi Desemba mwaka huu.

Hata hivyo Gernot Rohr aliamua kupeleka kesi hiyo FIFA kudai malipo zaidi ya fidia.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa