Kocha wa Rangers, Steven Gerrard anayetarajiwa kuwa Mrithi wa Jurgen Klopp siku za mbeleni ameendelea kuonyesha ubora wake katika mechi za Ligi ya Europa Baada ya timu yake kuondoka na ushindi hapo jana.
Steven Gerrard na kikosi chake cha Rangers msimu huu wapo wamoto sana na hata kuwapa wasiwasi Celtic kwamba yale mataji ya Uskochi ya mfululizo yanaweza kusitishwa msimu huu.
Baada ya Rangers kushinda mechi ya jana ya Europa ligi kwa 1-0 , basi hii ndio takwimu yao msimu huu mpaka sasa
Mechi 17
Ushindi 15
Sare 2
Clean sheets 14
Wameruhusu magoli 4 tu kufungwa
Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool anatarajiwa kuja kurudi katika dimba la Anfield kama kocha kutokana na kuwa kipenzi cha mashabiki katika timu hiyo.
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.
warda
Safi sana Huwa namkubali Gerrard Tangia zamani yuko poa sana
zeiyana
Rongers ni kocha mwenye mbinu nyingi sana hitakua vizuri akienda liverpool kuwa kama msaidizi wa kloop hata fanya mengi makubwa
Khadija
Safi sana
Mwanahamisi
Safi sana
Sauda
Kazi nzuri sana Gerrard.
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana
Carolyn
Hongera sana Gerald
Ernest
Mambo sio mabaya kwa Rangers
Fatina mfigi
Vizur san
Dorophina
Rangers msimu huu wapo vizuri sana
Tatu
Rangers wapo vizuri msimu huu kocha wao anajituma sana
Elika
Safi sana
Mwajumah
Safi sana
Issa
Ni balaa sana
Hopemwaikuka
Kwa raha zake
Nasra
Safiii sana
Povel
Pongez kwake. steven Gerrard kwa cleen sheet
Sabrina
Kazi nzuri Gerrard
Saupha mohamed
Safi sana
Fatuma kasomo
Safi