Gerrard Kumleta Luis Suarez Villa Park?

Mambo yanakwenda kasi sana. Uwepo wa Steven Gerrard kule Villa Park ni kama kani ya uvutano wa sumaku. Wachezaji nyota wanavutiwa na Aston Villa.

Inasadikika kuwa, Luis Suarez anatazamia kuungana na Gerrard kule Villa Park baada ya mkataba wake na Atletico Madrid kumalizika.

Suarez na Stevie G waliwahi kucheza pamoja kule Anfield kabla ya Suarez kujiunga na FC Barcelona. Hawa ni maswahiba ambao wanajuana vyema kama wachezaji na watu wa karibu.

Tayari Aston Villa wameshamvuta Philippe Coutinho ambaye pia, aliwahi kucheza timu moja na Stevie G. Hii ni kusema kuwa, Gerrard anataka kuhamishia wachezaji wenzake wa Liverpool kule Villa Park?

Endapo dili hili likifanikiwa, Villa watakuwa na kikosi cha namna gani na, vilabu vingine vya EPL vijiandae kwa upinzani wa namna gani watakapokutana na Aston Villa yenye Suarez, Coutinho, Digne, Watkins na Buendia?


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe