Gian Piero Gasperini anahisi mafanikio ya Atalanta yamedharauliwa sasa, lakini anafurahi Napoli ni ‘muhimu sana kutowadharau’ zaidi ya Real Madrid.
Gasperini anahisi ni bora wakabiliane kwanza na vyema na Napoli kisha waende kupambana na Real Madrid, kwakuwa Napoli hawapaswa kudharaulika hata kidogo.
“Imekuwa ni muda mrefu tangu tumekuwa kwenye mazoezi na ilikuwa muhimu sana kufanya hivyo. Sasa tuna michezo minne mikubwa mfululizo.”
“Ninatarajia kuona Napoli wazuri, kwani hii ni timu imara na yenye ubora mwingi. Ukweli kuwa tumewakabili mara mbili hivi karibuni unatupa kitu cha ziada, zilikuwa ni mechi nzuri, lakini kesho tunaanza kutoka mwanzoni.”
“Umakini na akili zetu ziko kwenye Serie A tu hivi sasa. Tumepata pia nafasi yetu kwenye Fainali ya Coppa Italia, ambayo ilikuwa lengo tulilolenga tangu mwanzo.
Gasperini anaamini mashabiki wanatarajia mengi kutoka kwa Atalant na wataenda kufanya vizuri zaidi kuliko kampeni zilizopita. Atalanta wapo kwenye muelekeo mzuri anaamin itakuwa na faida kubwa kwao.
Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!
Mbona Napoli wapo vinzur wana kwama wapi?
Matokea hayatabirk siku hz
Tunasubiri
Napol wako vizuri
Yupo sahiii
Good Napoli
Napoli wapo makini sana
Napoli huwa wanabadilika sana
Napoli jeshi wanajua