Gil Manzano Kiboko ya Messi, Neymar na Suarez.


Mwamuzi Gil Manzano amefanikiwa kuwatoa nje kwa kadi nyekundu Messi pamoja na Neymar na Suarez kipindi wakiichezea Barcelona.

Nyota wa Barcelona hawapendi kukutana na Gil Manzano. Mwamuzi huyo alimtoa Lionel Messi wakati wa fainali ya Supercopa de Espana Jumapili, na kumfanya Muargentina huyo kuwa mchezaji wa hivi karibuni wa Blaugrana ambaye amemtunuku kadi nyekundu.

Messi alifuata nyayo za Neymar na Luis Suarez kwa kutolewa nje na Gil Manzano, ikimaanisha refa huyo sasa amewapa kila mmoja wa watatu wa MSN kadi nyekundu.

 

Messi: Supercopa de Espana fainali dhidi ya Klabu ya Athletic, 2021

Kutolewa kwa Muargentina huyo kumekuja katika dakika za ziada kwa msaada wa VAR. Hakuna kitu kilichoitwa wakati mchezo unaendelea kuchezwa, ilibidi refa ashauriwe ili kutoa uamuzi. Ilikuwa kadi ya kwanza nyekundu ambayo Messi aliipata katika mechi rasmi akiwa na Barcelona.

Neymar: LaLiga Santander vs Malaga, 2016/17

Dhidi ya Malaga mnamo 2016/17, Neymar alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumkasirikia Diego Llorente.

 

Suarez: Copa del Rey vs Atletico Madrid, 2016/17

Kutolewa kwa Suarez kulikuwa na utata zaidi. Mwamuzi Alimwonyesha MuUruguay kadi yake ya kwanza ya manjano dakika ya 86 kwa kumchezea rafu Juanfran Torres, ambayo ilipingwa na No.9. Dakika tatu baadaye, aliacha mkono juu ya Koke kwenye mpira wa angani ambayo ilimfanya atolewe nje, ikimaanisha alikosa fainali.


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

17 Komentara

    Inaonekana hi manzano mkali ataki masihara

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    duh

    Jibu

    Habarii moto moto hizi

    Jibu

    Lakini kama wako nje na sheria si nilazima wapewe adhabu na muamuzi.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vizuli

    Jibu

    Adhabu inatakiwa

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Duuh jamaa noma sana

    Jibu

    Duh balaa

    Jibu

    Gil Manzano ni kiboko

    Jibu

    Hukutatokea Refa bora duniani kama Collina ambae maamuzi yake hayajawahi kuwa na utata

    Jibu

    Duuh sio poa

    Jibu

    Mess apindui

    Jibu

    Huyu mwamuzi huwa anapenda sana sifa

    Jibu

Acha ujumbe