Golden State Warriors Mabingwa NBA 2022.

 

Fundi wa Kikapu pale NBA, Stephen Curry ameisaidia timu yake ya Golden State Warriors Kutwaa ubingwa wa Ligi kuu ya kikapu nchini Marekani NBA hapo jana.

Curry alirejea baada ya kutofanya vizuri kwenye michezo mitano iliyopita na kuipa Golden State Warriors uongozi wa 103-90 dhidi ya Boston Celtic hapo jana.

 

Ubingwa huo umekuja baada ya misimu miwili Warriors kufanya vibaya iliwa ni pamoja na kutinga katika fainali 5 bila kutwaa ubingwa na baadae kushika nafasi ya mwisho katika msimamo wa NBA.

Golden State Warriors wameshinda taji lao la nne wakati kwa mara tatu wakipokwa katika fainali. Fainali tatu zilizopita ni mwaka 2015, 2017 na 2018 wakitinga fainali mara 5 mfululizo.

Ubingwa wa saba kwa ujumla kwa Warriors unawaweka nafasi ya tatu kwa kutwaa taji hilo mara nyingi, nyuma ya Boston Celtic na Los Angeles Lakers aliyetwaa mara 18.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe