Goli la Leao Avunja Rekodi Serie A na Ulaya.


Mchezaji wa AC Milan, Mreno Rafael Leao, 21 amevunja Rekodi katika Ligi ya Serie A, wakati wa mchezo dhidi ya Sassuolo.

Leao alitumia sekunde 6.2 kufunga bao hilo uwanjani Mapei na kurekodiwa kuwa ni bao la haraka zaidi kufungwa katika Ligi kuu ya nchini Italia.

 

Rekodi iliyokuwepo ilikuwa inashikiliwa na mshambuliaji wa Udinese na Piacenza, Paolo Pogi aliyefunga goli sekunde ya 8.9 akichezea timu ya Biancorossi mwaka 2001.

Rekodi hiyo pia imevunja rekodi katika ligi 5 bora ulaya.

Serie A: Rafael Leao ( 6.2 sec Milan vs Sassuolo )
LaLiga: Joseba Llorente ( 7.2 sec Valladoid vs Espanyol )
Premier League: Shane Long ( 7.69 sec Southampton vs Watford )
Ligue 1: Michael Rio ( 8 sec Caen vs Cannes )
Bundesliga: Karim Bellarabi ( 9 sec Leverkusen vs Dortmund)


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

12 Komentara

    Rekod kali sana

    Jibu

    Bonge ya rekod

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Bonge la rekodi

    Jibu

    Rekodi ya kibabe kabisa

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Waooo

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    kama la Chama

    Jibu

Acha ujumbe