Goli Tata la Sheffield United Dhidi ya Aston Villa Latolewa Ufafanuzi

Mwendeshaji wa maswala ya Teknolojia ya Ligi kuu England ameomba radhi baada ya goli la Sheffield United kukataliwa kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Aston Villa mchezo ulioisha kwa sare ya bila kufungana 0-0

Mlinda mlango wa Astonvilla Oliver Norwood alijifunga bao katika dakika ya 42 kutokana na kudaka mpira ukiwa ushavuka mstari lakini saa ya mwamuzi Michael Oliver, iliyounganishwa na teknolojia ya ‘goalline’ haikuashiria mpira ulikuwa umevuka mstari.

Idara ya teknolojia imeomba radhi na kusema kwamba ilikuwa mara ya kwanza kosa kama hilo kutokea katika mechi zaidi ya 9,000 tangu teknolojia hiyo ianze kutumika. Ameleza kuwa kamera zote saba zinazofuatilia goli zilifichwa na ama golikipa, mlinzi au mwamba wa goli.

kama Goli lile Lingehesabiwa lingefanya Aston Villa kujificha chini zaidi ya mstari wa kunusikna kushuka daraja, lakini pia bado ina nafasi finyu ya kupambania kubaki EPL ukilinganisha na michezo iliyobaki ambayo ni wazi kabisa kua ni migumu kwa Aston Villa.

Aston Villa kwa sasa wapo nafasi ya 19, wapili kutoka chini wakifuatiwa na Norwich (20) Huku walioko juu yao ni Bournemouth (18) na mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Chelsea utakaochezwa tarehe 21 mwezi wa 6.

55 Komentara

    Lile lilikua goli kabisa sema bora imekua hivyo kwani timu anayochezea mtanzania mwenzetu Mbwana Samatta ingekuwa kwenye wakati mgumu wa kushuka daraja#meridianbettz

    Jibu

    Izi technology ni hatar sana ila imekuwa hauweni kwa Aston Villa

    Jibu

    Bas itakua sio goal caz video assistance imeamua no goal caz mpira ulishatoka nje

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

    Habari nzuri ila muwe makini kwa wakati mwingine ilikuwa mnawaweka hatarini Aston villa japo wapo katika uhauweni kidogo

    Jibu

    Aston villa wazidi kupambana wasishuke daraja

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Hii ni hatari

    Jibu

    Utata huu ingekuwa zama zile hamna VAR sawa lakini kwa zama hizi sheff wapewe point zao

    Jibu

    Ilikuwa bonge la mechi lakini villa wapambane tu

    Jibu

    Washuke tu daraja#Meridianbettz

    Jibu

    Lilikuwa ni bonge la machi sema aston villa wapambane ili kutoshuka daraja,game inayofuuta dhidi ya chelsea watoke na pwenti tatu ili kutoka kwenye kinyang’anyilo cha kushuka daraja

    Jibu

    VAR haikufanya kazi vzr maana haiwez kua goli alafu likataliwe hii system waliona ndio suluhisho ya magoli kama haya tata

    Jibu

    Video assistance zimeona no goal kwaiyo tuheshimu maamuzi yao

    Jibu

    Hili goli lilimuuma sana Chris Wilder manager wa Sheffield ambaye alizungumza na sky newz kuhusiana na kupingwa kwa goli ambalo VAR alisema sio goli halali kwa pande ambao tulioshuhudia tunaamin n goli kabisa

    Jibu

    Villa wapambane wasishuke daraja

    Jibu

    Maoni:Duu hii mechi ilikua nouma sn

    Jibu

    duuh sas itakuwaje#meridianbettz

    Jibu

    Duuh noma sana.

    Jibu

    Yaliopita yameshapita tugange yajayo astonvila mpambane msishuke

    Jibu

    Like lilikuwa goal ambalo limeleta gumzo

    Jibu

    Wenzetu Wana teknologia.jmn

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Hii mechi ilikua balaa

    Jibu

    Wamewakatalia tu km mpira umevuka mstari kwann likataliwe walekebishe mitambo yao

    Jibu

    VR inavyoshindwa kufanya maamuzi yake kwa ufasaha

    Jibu

    Asante kwa taatifa meridian

    Jibu

    Hii mechi ilikua nzuri sana

    Jibu

    Daaaah hatari sana

    Jibu

    Duuh ilikua hatari sana

    Jibu

    Aston Villa wamepumua kwa kiasi fulani

    Jibu

    Aston villa wajipange vizuri #meridianbettz

    Jibu

    Washuke tu daraja

    Jibu

    VAR ktk Ligi imeonyesha haina msaada kwa refaree zaidi ya maumivu. Hivi karibuni kuna mmoja ya wachezaji alidai inaondoa uhondo wa mechi #meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Habari nzuri ingawa bado kwa Aston villa wanakibarua kizito

    Jibu

    Villa hawaonyeshi wanachokipambania

    Jibu

    Mwamuzi amewabeba Villa ili washishuke daraja , lakini powa Kama watabaki tutaendelea kukuona samatta EPL

    Jibu

    Oliver nolwood ndo alikiwa mpigaji, hata hvyo inaonekana alisukumwa kipa yule

    Jibu

    Nawapa pole sana Aston villa ingawa mtanzania mwenzetu yupo huko

    Jibu

    Duu noma sana

    Jibu

    Aston Villa wanamtihani.

    Jibu

    Lilikiwah goal sema technology ya goal haikuwah upand wao thnks meridian bet kwa update za michezo

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Yang macho

    Jibu

    Bora lingekuwa goli tuuu

    Jibu

    Mechi ilikuwa Kari sana

    Jibu

    Astonvilla wapo vizurii wazidi kupambana wasishuke daraja.

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Wakaze aston wasishuke daraja

    Jibu

    ila Aston villa hachomoki kushuka daraja

    Jibu

    Kaza buti aston usishuke utawapa watu maneno ya kuongea

    Jibu

    dah hii mechi imenipita sijaiona

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Good news

    Jibu

Acha ujumbe