Didier Gomes, Kocha wa Klabu ya Simba ametwaa tuzo ya Kocha bora wa mwezi wa nne wa Ligi Kuu Tanzania Bara, VPL.
Gomes ameiongoza Simba kwenye michezo 5 ya VPL na akishinda yote. Kocha wa Simba amewashinda Mathias Rule Kutoka Mbeya City na Zuberi Katwila wa Ihefu FC.
Aidha Mchezaji wa wa Simba SC Clatous Chama yeye ameibuka mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara(VPL)

TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Hongera Gomes zidi kuongeza bidii #meridianbett
Hongera sana
Gomes yuko makini hongera yake
Kwenye game katulia
Pongezi kwake anastahil
Hongera yake
Hongera sana Comes
Safii
Anastahili Gomes yupo makini
Hongera yake
Hongera Sana jamani
Wamestahili
Pongezi kwake