Griezmann na Dembele Kujiandaa Dhidi ya Napoli

Antoine Griezmann na Ousmane Dembele wamerejea kwenye mazoezi mepesi na Barcelona. Hii ni kuhakikisha wanakuwa katika hali nzuri kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Napoli.

Mechi ya mzunguko wa kwanza wa hatua ya mtoano wa timu 16 ilimalizika kwa sare ya 1-1 pale Stadio San Paolo na mechi ntingine ya maamuzi itachezwa Agosti 8.

Barcelona wamejitahidi katika wiki za mwisho za msimu wao kule Hispania, na Griezmann alikuwa na jeraha la paja na wakati Dembele alikosekana dimbani tangia mwezi Januari.

Chanzo kimoja cha habari za soka Hispania, kinaripoti kuwa wachezaji wote walionekana kwenye mazoezi na wachezaji wengine wa kikosi hicho. Hii ni kuelekea kibarua walichonacho kwenye LaLiga.

Hii inakuja baada ya taarifa nyingine kuwa Clement Lenglet alirudi kutoka kuuguzua jeraha lake mapema wiki hii.

Hata hivyo, Arturo Vidal amesimamishwa, pamoja na Samuel Umtiti, Jean-Clair Todibo na Roland Araujo wote wanatarajiwa kuikosa gemu ya dhidi ya Napoli.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure. Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

ChezaHapa Sasa

38 Komentara

    Jambo zur sanaa kulud kusaidia team

    Jibu

    Napoli haijavuja Ligi ya Mabingwa msimu ujao hivyo itajitoa mazima ipate tiketi ya kucheza msimu ujao kwa kuwa Bingwa#meridianbettz

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    Kwa kikosi cha sasa cha Barcelona sidhan kama kitaweza kupambana vilivyo na napoli ambao kwa sasa wako kwenye form sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Mechi itakua ya aina yake.

    Jibu

    Mech kal sana

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa barca

    Jibu

    Duuuh atar

    Jibu

    Itakuwa mechi nzuri na yenye mvuto

    Jibu

    Barcelona wamejitahidi katika wiki za mwisho za msimu wao kule Hispania, na Griezmann alikuwa na jeraha la paja na wakati Dembele alikosekana dimbani tangia mwezi Januari.

    Jibu

    Barcelona wamekua na matokea mabovu sana sizani kama wataweza kuinuka na ushindi zidi ya wapinzani wao napoli

    Jibu

    jambo nzuri sana kurudi kusaidia timu

    Jibu

    Mechi itakuwa nzuri Sana
    @meridianbettz

    Jibu

    Hitakuwa mechi ya aina yake!!

    Jibu

    Msituangushee

    Jibu

    Ni Jambo zuri sana kulud kusaidia team

    Jibu

    Mechi kali sana#meridianbettz

    Jibu

    Mechi itakua kali sana

    Jibu

    Kila siku wadau tumekuwa na shauku ya kumuona Griezmann akifanya mambo yake kama wakati yupo Atletico Madrid lakini bado anasuasua, Nadhani kocha anatakiwa kuangalia upya jinsi ya kumchezesha

    Jibu

    Mechi itakuwa kali sana.

    Jibu

    Niabari nzuri kurudi kuja kuisaidia timu

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

    Mechi ya mzunguko wa kwanza wa hatua ya mtoano wa timu 16 ilimalizika kwa sare ya 1-1 pale Stadio San Paolo na mechi ntingine ya maamuzi itachezwa Agosti 8 .Barcelona wamejitahidi katika wiki za mwisho za msimu wao kule Hispania hivyo naamini watashinda

    Jibu

    Tunasubili kwa hamu#meridianbett

    Jibu

    Itakua vizuri sana

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Hii ni habali njema kwetu

    Jibu

    Napoli wako vizuri

    Jibu

    Habari njema wamerudi wataongeza nguvu uwanjani maana mechi inaonekana ni ngumu sana

    Jibu

    Hata Kama watacheza lakini bado kipigo kipo Kama kawa

    Jibu

    Mechi kali

    Jibu

    Barcelona itambidi aongeze juhudi za kutosha maana Napoli nao hawapoi

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Wakazee

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

Acha ujumbe